Inafahamika wazi kuwa Iron Dome ndiyo mfumo wa ulinzi wa anga unaoaminika kuliko yote. Bila Iron Dome,Israel ingekuwa imekwishanywea. Iron Dome ndiyo inaipa Israel kiburi dhidi ya Iran kiasi cha kutaka vita viendelee.
Iron Dome ndiyo imeiokoa UAE kutokana na mashambulizi ya Iran. Iron Dome ilidungua 95% ya makombora na drones za Iran huko UAE.
Huko Israel kwenyewe, ni makombora machache sana ya Iran, chini ya 5% yaliyoweza kupenya na kutua ndani ya ardhi ya Israel. Kudungua cluster missiles za Iran siyo kazi rahisi, lakini iron dome zilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.