Ukiwa mfuga midevu na majini ni lazima uwe mjinga kupindukia!!Zumaridi mke wa Netanyahu najua hujui kiengereza, mwambie mumeo akutafsirie halafu ndo uje na pumba zako hapa, wanamgambo wa Hezbollah wameichakaza vibaya hio IRON DOME
Ungekua demu na wewe ningekufuga,Ukiwa mfuga midevu na majini ni lazima uwe mjinga kupindukia!!
Haya mnayoyasema ni kweli lakini kwa kipindi kilopita, sasa hivi wajanja washaijulia hio IRON DOME, na ni uongo kusema asilimia 5 tu ya makombora ndo yalipenya, Israel haruhusu picha za mashambulizi kutumwa kwenye mitandao ya kijamii, halafu pia si kweli kua Iron dome inaweza kuzuia cluster missiles haiwezi, lakini pia hezbollah juzi tu wameitungua IRON DOME KWA DRONE AMBAYO HAIFIKI HATA DOLA ELFU MOJAInafahamika wazi kuwa Iron Dome ndiyo mfumo wa ulinzi wa anga unaoaminika kuliko yote. Bila Iron Dome,Israel ingekuwa imekwishanywea. Iron Dome ndiyo inaipa Israel kiburi dhidi ya Iran kiasi cha kutaka vita viendelee.
Iron Dome ndiyo imeiokoa UAE kutokana na mashambulizi ya Iran. Iron Dome ilidungua 95% ya makombora na drones za Iran huko UAE.
Huko Israel kwenyewe, ni makombora machache sana ya Iran, chini ya 5% yaliyoweza kupenya na kutua ndani ya ardhi ya Israel. Kudungua cluster missiles za Iran siyo kazi rahisi, lakini iron dome zilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Hizo picha za AI eti jengo linaharibiwa lakini Bendera ikabaki hii ni ajabu za Mhamedi kufufuka!@
Jamii forum mnaigeuza kijiwe cha wahuni wahuni!!!! Yani watu kuweka Bendera kuonyesha uzalendo kwenu imekuwa kwann Bendera ibaki!!! Dunia kote wanafanya ivyo baaada janga wanaweka Bendera kuonyesha utaifa wao!!!!UMEJIBU VEMA. ATI shoka linaungua unabaki mpini? UONGO NA DINI FULANI NI KAMA UJI NA MGONJWA.
Ujinga huo alikuambia nani?Haaaaaa aibu echolimai kwaiyo ilo tambaaa si lilifungwa baada ya kipigo ili tu kuonyesha Uzalendo kwao.