Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa kushambulia kwenye makazi.

So far haijulikani kama Iron Dome zilihackiwa ama nini kimejiri.

Shuhudia sehemu ya kadhia hizo!

The system is designed to intercept and destroy short-range rockets and artillery shells fired from distances of 4 to 70 kilometres.

Na tukumbuke kua huo mfumo uliundwa 2011, technology inabadilika kila baada ya sekunde uvumbuzi mpya unagunduliwa, walichofikiri wanaweza kuzuia 2011 sio cha 2023.
Mmeanza kutoa sababu🤣🤣🤣
 
Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa kushambulia kwenye makazi.

So far haijulikani kama Iron Dome zilihackiwa ama nini kimejiri.

Shuhudia sehemu ya kadhia hizo!

View attachment 2805612
View attachment 2805613
View attachment 2805614
Kwahiyo ilitokea nini, kuna gorofa moja lililoshushwa kama za Gaza?
 
Iron dome ni kizungumkuti tuu pale Israel kama CCM.

Waliichungulia mbele na nyuma,walipogundua inauwezo wa kutungua kombara kadhaa,wao wanarusha mara tatu yake Kwa mpigo.
Sawq ustaadh hizo mlizorusha kwa mpigo uwa yanakwenda wapi? make hatuoni magorofa yakishuka Israel kama huko kwenu Gaza tatizo ni nini?
 
Hapo vita ni kwa historia ya vitabu vitabu Kita u cha gog Magog. Kitabu cha uislamu na ukiristu. Suala ni kwamba wayahudi watapigana miaka 12 kishawatagundulika kuwa ni wapinga krisito hapo yesu atarudi na ishara kubwa atatawala dunia toka Jerusalem na ukweli utajulikana ushabiki kwa sasa ni upuuzi. Mauaji si huruma ya mmwenyezimungu
 
Every technology in this world has limitations
Screenshot_20230513-214154.png
 
Yani huko watu wanaishi vipi??

Inamaana huko Palestine na israel watu wana maisha kama kawaida yani wanalala usiku,wanakunywa bia fresh au ni kukimbizana tu mda wote.

Maana si unaweza kuwa umetulia tu kombora likakuangukia.
 
Iron dome ni kizungumkuti tuu pale Israel kama CCM.

Waliichungulia mbele na nyuma,walipogundua inauwezo wa kutungua kombara kadhaa,wao wanarusha mara tatu yake Kwa mpigo.
Israel mwaka huu kaumbuka vibaya kumbe hata Syria akikaza anamtoa kamasi
 
Kwahiyo ilitokea nini, kuna gorofa moja lililoshushwa kama za Gaza?
Nendeni mkazike mizoga.....The Israeli colonel says: We have a problem to store the bodies of Israeli soldiers, because they give off a very "unpleasant smell", while not a day has passed since they were killed!

Miili ya wanamgambo wa Israel imeanza kuoza kwenye makontena
Screenshot_20231106-195331.jpg
Screenshot_20231106-195541.jpg
 
Yani huko watu wanaishi vipi??

Inamaana huko Palestine na israel watu wana maisha kama kawaida yani wanalala usiku,wanakunywa bia fresh au ni kukimbizana tu mda wote.

Maana si unaweza kuwa umetulia tu kombora likakuangukia.
Hakuna maisha kule kama Ukraine.
Vivilized cou try wansishi kama panya kujilinda linda kila mda. Kuunda mabaruti na mavyuma kujilinda.
Miaka 1000 ijayo itakuja kudomwa kuwa susi ni civilized zsidi kuliko gao wabsojiita civilized.
Haingii akilini mwangu kuwa watu civilized eti miaka yote kuwindana mabaruti.
 
Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa kushambulia kwenye makazi.

So far haijulikani kama Iron Dome zilihackiwa ama nini kimejiri.

Shuhudia sehemu ya kadhia hizo!

View attachment 2805612
View attachment 2805613
View attachment 2805614
sawa ndugu hamas, israel inaenda kudondoka muda si mrefu. hivyo ndivyo unatamani kusikia na ndivyo mnavyodanganyana huko kwenye vijiwe vya kahawa na kashata.
 
Nendeni mkazike mizoga.....The Israeli colonel says: We have a problem to store the bodies of Israeli soldiers, because they give off a very "unpleasant smell", while not a day has passed since they were killed!

Miili ya wanamgambo wa Israel imeanza kuoza kwenye makontenaView attachment 2806215View attachment 2806216
Vita ni vita kila upande wanakufa.
Watoto wadogo ndio wanaonewa kwa matakwa ya wanasiasa.
Raia wa kawaida huwa hawana mda na mipaka ila wanasiasa.
Ukute huko Islael raia wa kawaida walikuwa wanashitikiana mambo yote ya kijamii ila wanasiasa wanalazimisha utengano.
 
Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa kushambulia kwenye makazi.

So far haijulikani kama Iron Dome zilihackiwa ama nini kimejiri.

Shuhudia sehemu ya kadhia hizo!

View attachment 2805612
View attachment 2805613
View attachment 2805614
Gooooood
 
Hakuna maisha kule kama Ukraine.
Vivilized cou try wansishi kama panya kujilinda linda kila mda. Kuunda mabaruti na mavyuma kujilinda.
Miaka 1000 ijayo itakuja kudomwa kuwa susi ni civilized zsidi kuliko gao wabsojiita civilized.
Haingii akilini mwangu kuwa watu civilized eti miaka yote kuwindana mabaruti.
Hebu fanya kuedit makosa ya baadhi ya maneno ili usomeke vizuri Mkuu
 
Back
Top Bottom