Mmeanza kutoa sababu🤣🤣🤣The system is designed to intercept and destroy short-range rockets and artillery shells fired from distances of 4 to 70 kilometres.
Na tukumbuke kua huo mfumo uliundwa 2011, technology inabadilika kila baada ya sekunde uvumbuzi mpya unagunduliwa, walichofikiri wanaweza kuzuia 2011 sio cha 2023.
Kwahiyo ilitokea nini, kuna gorofa moja lililoshushwa kama za Gaza?Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa kushambulia kwenye makazi.
So far haijulikani kama Iron Dome zilihackiwa ama nini kimejiri.
Shuhudia sehemu ya kadhia hizo!
View attachment 2805612
View attachment 2805613
View attachment 2805614
Sawq ustaadh hizo mlizorusha kwa mpigo uwa yanakwenda wapi? make hatuoni magorofa yakishuka Israel kama huko kwenu Gaza tatizo ni nini?Iron dome ni kizungumkuti tuu pale Israel kama CCM.
Waliichungulia mbele na nyuma,walipogundua inauwezo wa kutungua kombara kadhaa,wao wanarusha mara tatu yake Kwa mpigo.
Endekea kufyeka pori Kwa kumsaka nyoka.Kwahiyo ilitokea nini, kuna gorofa moja lililoshushwa kama za Gaza?
Juju wa maa'jujuKita u cha gog Magog.
Bado Sana,jua halijachomoza magharib kwenda mash,siku Moja kuwa sawa na mwaka,ujio WA masiah dajal Ndo atakuja ISSA .hapo yesu atarudi
Every technology in this world has limitations
Israel mwaka huu kaumbuka vibaya kumbe hata Syria akikaza anamtoa kamasiIron dome ni kizungumkuti tuu pale Israel kama CCM.
Waliichungulia mbele na nyuma,walipogundua inauwezo wa kutungua kombara kadhaa,wao wanarusha mara tatu yake Kwa mpigo.
Nendeni mkazike mizoga.....The Israeli colonel says: We have a problem to store the bodies of Israeli soldiers, because they give off a very "unpleasant smell", while not a day has passed since they were killed!Kwahiyo ilitokea nini, kuna gorofa moja lililoshushwa kama za Gaza?
Hakuna maisha kule kama Ukraine.Yani huko watu wanaishi vipi??
Inamaana huko Palestine na israel watu wana maisha kama kawaida yani wanalala usiku,wanakunywa bia fresh au ni kukimbizana tu mda wote.
Maana si unaweza kuwa umetulia tu kombora likakuangukia.
sawa ndugu hamas, israel inaenda kudondoka muda si mrefu. hivyo ndivyo unatamani kusikia na ndivyo mnavyodanganyana huko kwenye vijiwe vya kahawa na kashata.Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa kushambulia kwenye makazi.
So far haijulikani kama Iron Dome zilihackiwa ama nini kimejiri.
Shuhudia sehemu ya kadhia hizo!
View attachment 2805612
View attachment 2805613
View attachment 2805614
Vita ni vita kila upande wanakufa.Nendeni mkazike mizoga.....The Israeli colonel says: We have a problem to store the bodies of Israeli soldiers, because they give off a very "unpleasant smell", while not a day has passed since they were killed!
Miili ya wanamgambo wa Israel imeanza kuoza kwenye makontenaView attachment 2806215View attachment 2806216
GoooooodHapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa kushambulia kwenye makazi.
So far haijulikani kama Iron Dome zilihackiwa ama nini kimejiri.
Shuhudia sehemu ya kadhia hizo!
View attachment 2805612
View attachment 2805613
View attachment 2805614
Hebu fanya kuedit makosa ya baadhi ya maneno ili usomeke vizuri MkuuHakuna maisha kule kama Ukraine.
Vivilized cou try wansishi kama panya kujilinda linda kila mda. Kuunda mabaruti na mavyuma kujilinda.
Miaka 1000 ijayo itakuja kudomwa kuwa susi ni civilized zsidi kuliko gao wabsojiita civilized.
Haingii akilini mwangu kuwa watu civilized eti miaka yote kuwindana mabaruti.
Wewe wa Mbagala Kizuiani ndio unajua hivyo lakini sio wasyria.Israel mwaka huu kaumbuka vibaya kumbe hata Syria akikaza anamtoa kamasi