Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wanakua washachonga na watu wao
Mkuu hivi vya Meru waliweka saa sita usiku na kwakuwa nilikua navizia basi nilijipakulia minyama ya kutosha.Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio mfumo wanaweka.
Je usiku mnafungulia nani mfumo ?
Ulijuaje kama muda huo ndio wameweka?Mkuu hivi vya Meru waliweka saa sita usiku na kwakuwa nilikua navizia basi nilijipakulia minyama ya kutosha.
Kuna ambavyo waliwekaga mara ya kwanza kutokana na wingi wa watu mfumo ulipata hitilafu. Wanaweka usiku ili wanaoingia wanakua wachache mfumo sio rahisi kupata hitilafu. Hata hivyo watumishi wa halmashauri hawakujua muda vitakapokuwa hewa. Mimi kawaida huwa naingia saa sita usiku na kuendelea na siku hiyo nilijipakulia viwanja asubuhi saa 3 ndo viliisha. Baada ya siku 7 wale ambao hawakua wamelipia application form mfumo ulirudisha viwanja nikajipakulia. Ndugu yangu pia baada ya siku 14 wale ambao hawakua wamelipia 50% viwanja vilirudi nikaweka hesabu zangu sawa nikajipakulia wali kwenye sahani. Sasa hivi vimeshauzwa vyote tunasubiri tarehe 02 September kama vitarudi tujipakulie. Kumbuka after deadline kuna 1 day grace period na siku inayofata vinarudi ili wananchi wajipakulie. Huu mfumo nimeupenda sana wa tausi.Ulijuaje kama muda huo ndio wameweka?
kwahyo mkuu mfumo ni unazuia kwanza kiwanja halafu unatakiwa ulipie baada ya muda fulani au? na unaweza kununua as many plots as possible?Kuna ambavyo waliwekaga mara ya kwanza kutokana na wingi wa watu mfumo ulipata hitilafu. Wanaweka usiku ili wanaoingia wanakua wachache mfumo sio rahisi kupata hitilafu. Hata hivyo watumishi wa halmashauri hawakujua muda vitakapokuwa hewa. Mimi kawaida huwa naingia saa sita usiku na kuendelea na siku hiyo nilijipakulia viwanja asubuhi saa 3 ndo viliisha. Baada ya siku 7 wale ambao hawakua wamelipia application form mfumo ulirudisha viwanja nikajipakulia. Ndugu yangu pia baada ya siku 14 wale ambao hawakua wamelipia 50% viwanja vilirudi nikaweka hesabu zangu sawa nikajipakulia wali kwenye sahani. Sasa hivi vimeshauzwa vyote tunasubiri tarehe 02 September kama vitarudi tujipakulie. Kumbuka after deadline kuna 1 day grace period na siku inayofata vinarudi ili wananchi wajipakulie. Huu mfumo nimeupenda sana wa tausi.
kwahyo mkuu mfumo ni unazuia kwanza kiwanja halafu unatakiwa ulipie baada ya muda fulani au? na unaweza kununua as many plots as possibl
Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio mfumo wanaweka.
Je usiku mnafungulia nani mfu
Mkuu leo ni miezi 3 imeisha kama ilivyo utaratibu kuna watu hawakumaliza kulipia hivyo usiku vimerudi na muda huu vimebakia 15. Kama unahitaji wahi kajipakulie minyama utafute hela ya kulipa kabla ya kuisha muda. Kumbuka ukilipa nusu ukashindwa kumalizia hutarudishiwa hata mia.Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio mfumo wanaweka.
Je usiku mnafungulia nani mfumo ?
Mkuu samahani naona vimeisha tayari vimeshawahiwa. Vilikua 34 ila vitaendelea kurudi kwa wale ambao hawajamaliza kulipa.Mkuu leo ni miezi 3 imeisha kama ilivyo utaratibu kuna watu hawakumaliza kulipia hivyo usiku vimerudi na muda huu vimebakia 15. Kama unahitaji wahi kajipakulie minyama utafute hela ya kulipa kabla ya kuisha muda. Kumbuka ukilipa nusu ukashindwa kumalizia hutarudishiwa hata mia.
Hii ni Halmashauri ganiMkuu samahani naona vimeisha tayari vimeshawahiwa. Vilikua 34 ila vitaendelea kurudi kwa wale ambao hawajamaliza kulipa.
Habari Mkuu,Mkuu leo ni miezi 3 imeisha kama ilivyo utaratibu kuna watu hawakumaliza kulipia hivyo usiku vimerudi na muda huu vimebakia 15. Kama unahitaji wahi kajipakulie minyama utafute hela ya kulipa kabla ya kuisha muda. Kumbuka ukilipa nusu ukashindwa kumalizia hutarudishiwa hata mia.