Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Ningependa kujua piaKuhusu mfumo wa Tausi, je ukitaka kujua viwanja vipo wapi google map unafanya je? na jee ukishalipia ndio unaenda manispaa husika kupelekwa site ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningependa kujua piaKuhusu mfumo wa Tausi, je ukitaka kujua viwanja vipo wapi google map unafanya je? na jee ukishalipia ndio unaenda manispaa husika kupelekwa site ?
Control number ni hiyo hiyo, UKimaliza kulipa unaprint risit zako unaenda halmashauri kulipia hatiHabari Mkuu,
Naomba kujuzwa kuhusu mfumo wa Tausi, nimeona unatakiwa kulipia 50% ndani ya siku 21 - na balance ndani ya miezi mitatu. Je unaendelea kutumia hio control number moja kwa malipo yote? .. Na je malipo ya maandalizi ya Hati unapewa mdaa gani ili ukamilishe malipo?
Kuhusu mfumo wa Tausi, je ukitaka kujua viwanja vipo wapi google map unafanya je? na jee ukishalipia ndio unaenda manispaa husika kupelekwa site ?
Baba hiyo mbona rahis nenda Google map tafuta sawa eneo lilipo kama ni janja ni rahisKuhusu mfumo wa Tausi, je ukitaka kujua viwanja vipo wapi google map unafanya je? na jee ukishalipia ndio unaenda manispaa husika kupelekwa site ?
Kweli aisee!Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio mfumo wanaweka.
Je usiku mnafungulia nani mfumo ?
Asante sana mkuu kwa maelezo mazuriControl number ni hiyo hiyo, UKimaliza kulipa unaprint risit zako unaenda halmashauri kulipia hati