Habari Mkuu,
Naomba kujuzwa kuhusu mfumo wa Tausi, nimeona unatakiwa kulipia 50% ndani ya siku 21 - na balance ndani ya miezi mitatu. Je unaendelea kutumia hio control number moja kwa malipo yote? .. Na je malipo ya maandalizi ya Hati unapewa mdaa gani ili ukamilishe malipo?