Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru.
Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya kuwa na wabunge wanaolipwa mshahara mwaka mzima kwa miaka yote mitano,
China wabunge wa bunge la nchi hiyo(NPC) hawalipwi mishahara ya ubunge badala yake huwa wanalipwa posho tu katika kikao cha wiki mbili ambacho huitishwa mara moja tu kwa mwaka, nyakati nyingine hao wabunge wanatakiwa wafanye kazi zao nyingine wajipatie kipato huko, (ubunge China ni kama kazi ya kujitolea). Sisi pia tungeiga na kufuata tu mfumo huo wa China kuokoa gharama kwa sababu bunge letu na mfumo wetu wa utawala kwa sasa hauna tofauti na China.
Naunga mkono hoja..Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru.
Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya kuwa na wabunge wanaolipwa mshahara mwaka mzima kwa miaka yote mitano,
China wabunge wa bunge la nchi hiyo(NPC) hawalipwi mishahara ya ubunge badala yake huwa wanalipwa posho tu katika kikao cha wiki mbili ambacho huitishwa mara moja tu kwa mwaka, nyakati nyingine hao wabunge wanatakiwa wafanye kazi zao nyingine wajipatie kipato huko, (ubunge China ni kama kazi ya kujitolea). Sisi pia tungeiga na kufuata tu mfumo huo wa China kuokoa gharama kwa sababu bunge letu na mfumo wetu wa utawala kwa sasa hauna tofauti na China.
Tunarudi pale pale kwamba inabidi serikali dhalimu iondoke kwanza.Hao wabunge wasipo petiwapetiwa kwa pesa watageuka wapinzani wakubwa wa serikali. Hawalipwi kwa kazi yao, wanalipwa kunyamazishwa.
SahihiTunapoteza pesa nyingi sana kwa mambo yasiyo na tija.