Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa?
Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a inawasha sana picha ila sikuwa naridhika na quality za hizo picha, nilitaka wateja wangu wapate kitu...
Wawekezaji wenzangu mko poa?
Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima.
Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya gari fulani kuanzia kipindi fulani mpaka kipindi fulani, hakuna ujumbe mwingine. Kwenye mfumo wa...
Ndoa si Biashara: Kujibu Hoja za Wanaokimbia Ndoa kwa Hofu ya Kiuchumi
Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka Wimbi jipya la wanaume wanaopania kukaa mbali na ndoa. Hoja yao kuu? "Wanawake wanatumia ndoa kama mradi wa kujitajirisha." Ingawa ni kweli kuwa kuna visa vya watu kutumia vibaya mfumo...
Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru.
Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya...
Hizi ni Myth 7 za Teknolojia Zinakupotezea Pesa Nyingii Mno
Je, umewahi kuambiwa kwamba lazima ununue cable ya bei ghali ili kupata picha bora kwenye TV yako? Au kwamba kamera yenye megapixel nyingi ndiyo bora zaidi? Ukweli ni kwamba, kuna imani potofu nyingi kwenye teknolojia ambazo...
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.