MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa?
Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a inawasha sana picha ila sikuwa naridhika na quality za hizo picha, nilitaka wateja wangu wapate kitu kizuri zaidi.
Sasa nikapa wazo niende niliponunulia sim nika top-up nipewe 9 PRO. Ila siku moja nikapata wazo nikapakia picha moja kwenye chatgpt nikaielekeza ebana kitu kilichotokea wazee ni so amazing nikaruka kwa furaha na watena wangu wakanipa feedback nzuri sana basi na wazo la kwenda KUTOP-UP likafa hapo hapo. Ndugu zangu AI ni kitu kizuri sana hasa kwasisi vijana tunaojitafuta.
Naomba kuwasilisha. 🙏🙏🙏