Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

Wao wananunuliwa hadi barakoa, unadhani watakuelewa ukisema maisha ya mtanzania yamezidi kuwa magumu.
Unafiki na mipasho ndo vitu wanavyojua wao.
 
Tunaanzia wapi mliko tuje tuungane? [emoji848][emoji848]..

Mkishaandamana kimbieni Nchi hamieni huku hakuna mfumuko wa bei [emoji116]

View attachment 2072919

View attachment 2072920

View attachment 2072925

View attachment 2072926
Serikali inachukua hatua gani kupambana n inflation? Hiki ndio swali la msingi kabisa. Nchi nyingi kweli zinekumbwa na mfumko wa bei, je wao wamekaa kindezi kama Tanzania? Wenzetu kupanda tu kwa bei ya mkate wanaandamana!
 
Serikali inachukua hatua gani kupambana n inflation? Hiki ndio swali la msingi kabisa. Nchi nyingi kweli zinekumbwa na mfumko wa bei, je wao wamekaa kindezi kama Tanzania? Wenzetu kupanda tu kwa bei ya mkate wanaandamana!
Wewe unachukua hatua gani? Au umekaa kindezi unalia Lia kama unasukumizwa miti?
 
maandamano hayajawahi kuwa solution, tizama algeria, sudan, libya n.k mwisho wa hizo hamasa ni hali kuwa mbaya kuliko ilivyokuwa kabla..
 

Kwamba uchumi umekua gafla sio ha ha haaaa yaani saizi watu wana hela sio
 
Kama bunge lenyewe linafungwa mdomo, usitegemee la maana.......kilichopo kwa sasa ni mbio za urais 2025.
 
Ni kweli bidhaa zipo juu, serikali itafute namna ya kuongeza purcharsing power ya watu wake.
 
Naanza na mama yako
Mama yangu unajua alipo? Je utamuweza?
Au ni kawaida yako kuzungumzia mambo usiyoyamudu? Maana umeshahama kutoka ujasiri wa kitaifa sasa unazungumza kuanza na mamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

WEWE NI DHAIFU SANA.
 
Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote.
Idadi ya vijana walioajiriwa awamu hii ya SamiaπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Hivi iliwezekana vipi vibaka na matapeli wakachukua nchi?!Wananchi tulikuwa tumelala fofofo?
 
Baadhi ya viongozi wanasikia, ila wakinywa mvinyo na kupiga hesabu zao za faida na hasara, wanatusahau.
Sisi unaona wa TAMISEMI ameropoka wanafunzi wavae nguo za kuchungia seko!
 
Wanaoongoza Dola walikuwa na mawazo kwamba wawekezaji wanaweza tatua tatizo la ajira jambo ambalo wenyewe wamekuja kuona kuwa sio kweli.

Hotuba ya jana ya Rais kule Pemba kwamba vijana wakamatie fursa ni kiashiria kwamba Serikali imeshindwa kutengeneza ajira ambazo ilifikiri itazitengeneza kupitia uwekezaji.

Awamu iliyopita iliona hilo na ndio maana wakaruhusu watu wajiajiri kupitia umachinga.

Taratibu uchumi ulikua unakua kwani watu wengi walikua na uwezo wa kujitegemea.

Ila kwakua basi kuna ambao hawapendi tu kuona watu wanajikwamua kiuchumi ili waendelee kunyonya wenzao na kuwatawala.

Ikawa wamachinga lazima waondolewe mitaani.

Kama serikali imeshindwa kutoa ajira iruhusu machinga kuingia mitaani.

Ni hatari mno kutawala wananchi walio na njaa huku wachache wakineemeka.

Jambo hili lilikuwepo 2015 kurudi nyuma ila kama lingeachwa liendelee basi isingekua ajabu kushuhudia machafuko.

Sasa tumerudi kulekule kutengeneza bomu jingine.

Watu watachoka kukaa na njaa na wataingia mtaani.
 
Matokeo ni miaka 4 ijayo, vibaka, majambazi watumiaji wa dawa za kulevya wanaongezeka kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…