Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

Inflation au mfumuko wa bei ndio unaotofautisha maskini na tajiri. Kwa hiyo ukiwa tajiri mfumuko wa bei haukuathiri
 
Luna Dogo mmoja aliniuliza swali nikashindwa kumpa jibu la moja kwa moja:
Dogo: Hivi Mkuu, nasikia watu wanalalamika ooh! Keko, ooh! Segerea, sijui Lilungu, kukoje? Shughuli gani zinafanyika huko?
Mimi: Mh! Hivi unawafahamu watu wanaitwa Police?
Dogo: Aah! Nawafahamu sana. Wale jamaa wastaarabu sana! Tena waungwana mno!
Mimi: Sasa kwa sababu nia yako ni kufanya utafiti, fanya jambo moja.
Dogo: Yes, sema!
Mimi: ...............!!!
 
Back
Top Bottom