Luna Dogo mmoja aliniuliza swali nikashindwa kumpa jibu la moja kwa moja:
Dogo: Hivi Mkuu, nasikia watu wanalalamika ooh! Keko, ooh! Segerea, sijui Lilungu, kukoje? Shughuli gani zinafanyika huko?
Mimi: Mh! Hivi unawafahamu watu wanaitwa Police?
Dogo: Aah! Nawafahamu sana. Wale jamaa wastaarabu sana! Tena waungwana mno!
Mimi: Sasa kwa sababu nia yako ni kufanya utafiti, fanya jambo moja.
Dogo: Yes, sema!
Mimi: ...............!!!