Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

Kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya kwa taarifa yako toka 2016 hakuna mpaka uliofungwa eti mazao yaziuzwe nje, kipindi cha jk sawa.Wala tatizo sio kuruhusu /kuzuia mazao yasiuzwe nje, mbona bei ya mchele na mahindi bado ziko chini sana?mafuta ya kula na bidhaa nyingi tu zimepanda bei ndio ujue kuna tatizo sehemu, unaweza kukimbilia kutaka kukusanya kodi kwa wingi huku unaumiza wananchi, na ndicho kinachotokea sasa!!
 
Na ndio maana sasa , mtu anakuwa kama hajiamini vile, muda mwingi ni kutafuta huruma tu kwa kutumia JINSI, yake!!!
 
Inflation humgusa kila mtu hata mtumishi
Hata deflation humgusa kila mtu.

Usililie deflation ni mbaya sana ndugu yangu, ni ujamaa ule wa kuleta umaskini. Unatakiwa kuchakarika kuikimbiza thamani ya pesa, ongeza uzalishaji wako.

Sikia mtaani pesa ikiwa nyingiiii hakuna bidhaa hiyo ni inflation mbaya sana. Hivyo hivyo kukiwa na bidhaa kila sehemu ila pesa hakuna ni mbaya sana. Pengine mbaya zaidi.

Inatakiwa inflation inavyoongezeka raia wachakarike na uzalishaji ili iwe sawa na uzalishaji na thamani ya pesa nje ya nchi ipande huku serikali ikihakikisha money supply haizidi uzalishaji. Mnakutana kwenye equlibrium.

Mfano , dola moja ss kwetu ni elfu mbili na ushee, ila parachichi unalonunua hapa mia tano marekani atalinunua dola mpaka mia almost laki mbili na ushee. Hiyo ni inflation kwao lakini isiyo na madhara kwenye uchumi wao bali faida.
 
Huna ulijualo
 
Kuna jambo linakuja sio utani
Mambo yatakuwa mabaya zaidi kwa sababu nchi nyingi sana zimekopa mda wote wa janga la Corona

Sasa kurudisha hizo hela ndio kazi na wengine kama sisi ndio kwanza eti tunakopa na za corona wakati huu

Msomeni Robert Kiyosaki ametabiri nini kitatokea mwezi huu

 
Siyo kwamba anawakomesha mataga huku akifuta legacy?

Siyo kwamba ndio anawajaza bavicha mahela mifukoni?
nyie matagapori hamkomeshwi kwasababu nyie mkienda vituo vya mafuta kufanya manunuzi mnapunguziwa bei kwasababu ni CCM 🤣 🤣 🤣

Hivi nyie mataga pori mlidhani huu ugumu wa maisha unaosababishwa na CCM utawaathiri wapinzani pekee???
 
Jana nimesikia jiran analalamika ngano pia inapaa
 
Mabavicha zile shangwe zenu za..

Mama anawakomesha mataga,
Mama anawakomesha sukuma gang
Mama anaupiga mwingi
Mama anafuta legacy

Vipi zimeishia wapi?

Si mlikuwa manashangilia kwmba bora huyu anawapiga huku anawageia na soda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…