Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari


He tungule shilingi ngapi ?
 
Ndio maana wako rojorojo sana.
Huku kwetu Kahama bila ugali wa Kushiba mtu hakuna atakaye kwenda kulala. Na Kama umeoa binti wa mtu usitegemee kumlisha mkate halafu usiku umwambie geukia huku. Utakaa na hicho kidude chako mpaka kiote kutu.
 
Ndio maana wako rojorojo sana.
Huku kwetu Kahama bila ugali wa Kushiba mtu hakuna atakaye kwenda kulala. Na Kama umeoa binti wa mtu usitegemee kumlisha mkate halafu usiku umwambie geukia huku. Utakaa na hicho kidude chako mpaka kiote kutu.
Ugali unavimbisha kiuno ndio mana Wazanzibar wanauchukia ugali, matako ndo issue
 
Dr. Mwiny amekuja kuchuma tu Zanzibar kujiongezea utajiri na ukoo wake, zanzibar haimuumi hata kidogo yeye kwao ni Tanganyika, tokea aingie madarakani sasa ameshakusanya hela kibao lakini hakuna alichowaneemesha zanzibar.,
 
Huko kwa mchongameno si mnakufa kwa UKIMWI
Ukimwi umeona ni ishu? Kuleni kasa na nguruwe nyie. Hatuleti nyama ya ng'ombe Wala Mchele na mnavyopenda pilau na kulakula pumbavu. Tunauza kitimoto tu Kama mnataka semeni tuwaletee Kama hamtaki kuleni kasa mpaka mfe kama paka.

Mkae kwa kutuheshimu sana tukikata umeme, maji, simu, mnakufa kama wadudu acheni kutusumbua na visuruali vyenu don't touch.

Mnaongea mno mnaishi bure sana tunawaangalia tu eti mnataka usawa wa muungano kwa pesa gani mnayoleta ? Madini tunachimba sisi, gas, mafuta, makaa ya mawe, kilimo, ufugaji haya yote hamuono nyie mnakula urojo tu.

Kodi mnalipa nusu ya Kodi tunayolipa sisi, maana ukiagiza bidhaa Zanzibar lazima ulipie nusu Kodi nyingine zaidi ya uliyolipa. Kuna mwenzio analalamika eti mkate wa boflo umepanda bei umekuwa 250 pumbavu sana huku hamtaweza kuishi mkate ni 1500 hutaki kale mihogo ulale.

Msituchukulie poa mnaongeaongea tunawaangalia tu. Tutaacha kuwaletea nyama ya ng'ombe tunauza nguruwe tu, halafu tuone kama hamtanunua na mlivyo waroho sasa hivi tu yenyewe tunaleta nguruwe kibao na ndio wateja wakuu ni nyie. Uliza uambiwe.

Kitimoto inanunulika sana Zanzibar na Pemba Tena kilo 15,000. Tunawaangalia tu mnavyojifanya wanafiki.
 
Vipi upande wa gahawa, visheti na urojo..??
 
Punguza hasira[emoji23][emoji23]
 
Huu ujinga kaongee na Mkeo ndio atakusikiliza
 
Unayosema ni kweli kabisa, mfumko wa bei ni mkubwa sana, karibu kila kitu nikienda dukani vimeongezeka bei,
Rais Mwinyi alianza kumiliki na kuongoza vizuri, lkn inaonekana ulikuwa moto wa vifuu,
Mfano vijiji vya (Shamba) Matemwe na Pwani mchangani alipoingia madarakani maji ya Zawa yakawa yanatoka mara 3-4 kwa wiki, baada ya miezi 6 hali ikarudi km zamani, maji yanatoka mara 1 kwa wiki au wiki inapita bila maji kutoka.
 
Mturudishie Mwinyi Tanganyika nanyi mchukue mtu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…