Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

Mmmh jamani tunaitegemea zanzibar kwa lipi? Taja mambo matano tunayowategemea
1. Kodi wanazolipa wazanzibar kupitia TRA ndio kubwa hapa, hizi hela direct zinaenda Tanganyika na hakuna ata cent inayorud Zanzibar., Zanzibar wana chombo chao cha kulipia kodi kwa shughuli zao ZRB

2. Misaada mbali mbali na mikopo ambayo JMT inapata na kukopa kwa ajili ya Nchi mbili huru zilizoungana yaani Jamuhuri ya Muungano inaishia ardhi ya Tanganyika tu kwa maendeleo yao, zanzibar hawapeleki kitu tangia 64.

3. Bandari ya Zanzibar haijawahi kuleta faida kwa wazanzibari ikifika jioni mapato yote Tanganyika

4. Wanajeshi kutoka zanzibar miaka yote ndio hupelekwa mipakani kulinda nchi lakini ndio mnaowapeleka kupitia UN kupambana na makundi ya waasi kule Kongo na kwengineko., ndio mana ikitokezea kufa maiti zinaletwa Zanzibar tu watanganyika hawapeleki watu wao kwenye vita

5. Zanzibar sasa ivi eneo kubwa la ardhi yake wamekuwa wakipewa watanganyika wanyamwezi wanamiminika kila leo wanakatiwa maeneo wanaishi na familia zao na ajira wanapewa na kuzaliana
 
Hiyo number sita bora uifute kabisa!!!! Chipsi si chakula cha kizanzibari na anaejidai kuwa lazima apate chipsi jioni simhurumii kwa bei yake. Utalalamikaje juu ya bei ya chipsi ambacho si chakula cha asili ya kizanzibari ilhali mchele na sukari bei yake haifikii ya shani ya chipsi? Kwa mzanzibari ikiwa una uwezo wa kununua sahani ya chipsi ili watu wakuone tu kuwa uko barazani unakula chipsi jioni basi huwezi kulalamika na bei ya unga, sukari au mchele, vyakula ambavyo mtu akipata anaweza kupika na kula na familia yake nyumbani

mkuu vipi umechanganyikiwa? kwa kweli unaropokwa ovyo tu
 
Unaongea lugha gani tena? Sisi bara tutegemee hivyo vitongoji?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1. Kodi wanazolipa wazanzibar kupitia TRA ndio kubwa hapa, hizi hela direct zinaenda Tanganyika na hakuna ata cent inayorud Zanzibar., Zanzibar wana chombo chao cha kulipia kodi kwa shughuli zao ZRB

2. Misaada mbali mbali na mikopo ambayo JMT inapata na kukopa kwa ajili ya Nchi mbili huru zilizoungana yaani Jamuhuri ya Muungano inaishia ardhi ya Tanganyika tu kwa maendeleo yao, zanzibar hawapeleki kitu tangia 64.

3. Bandari ya Zanzibar haijawahi kuleta faida kwa wazanzibari ikifika jioni mapato yote Tanganyika

4. Wanajeshi kutoka zanzibar miaka yote ndio hupelekwa mipakani kulinda nchi lakini ndio mnaowapeleka kupitia UN kupambana na makundi ya waasi kule Kongo na kwengineko., ndio mana ikitokezea kufa maiti zinaletwa Zanzibar tu watanganyika hawapeleki watu wao kwenye vita

5. Zanzibar sasa ivi eneo kubwa la ardhi yake wamekuwa wakipewa watanganyika wanyamwezi wanamiminika kila leo wanakatiwa maeneo wanaishi na familia zao na ajira wanapewa na kuzaliana
Unaongea kimajungu sana na unajitoa ufahamu
 
Aisee ni mdogo sana.... Sema urojo wenyewe nauskiaga tu siujui hata ukoje
Hapo mna chips za muhogo. Badia za dengu. Viazi na huo urojo.

Unaweza weka na mishkaki na yai la kuchemsha. [emoji39]

Kwa ufupi chakula cha nguvu [emoji123]. Sio kama watu wanavosema ukila urojo unakuwa legelege [emoji14]
20220117_190533.jpg
 
Hapo mna chips za muhogo. Badia za dengu. Viazi na huo urojo.

Unaweza weka na mishkaki na yai la kuchemsha. [emoji39]

Kwa ufupi chakula cha nguvu [emoji123]. Sio kama watu wanavosema ukila urojo unakuwa legelege [emoji14]View attachment 2086853
Sasa mbona watu wanauponda urojo wanasema ukiula na wewe unakuwa rojo rojo yaani mlegevu?
 
Mchele 2200 mnalalamika wakati hata shamba hamna mnaagiza nje.
 
Leo wamepita jamaa wanaozoa taka huku maeneo ya kiembe samaki wanadai eti kuanzia mwezi wa 2 ada itakuwa 10000 badala ya 5000 ya mwanzo, huku ni kutiana umaskini tu
 
Back
Top Bottom