Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

Tatizo ni wavivu, hakuna uzalishaji , wanawategemea wabara ndio wafanye kazi zao
Ni rahisi sana kulaumu, nani amekwambia hakuna uzalishaji na wanategemea wabara kufanya kazi? Hiyo ardhi ya kuzalisha iko wapi?

Asilimia sitini ya ardhi ya Zanzibar ni mawe na kilimo chake ni duni kabisa ijapokuwa watu wanajitahidi na ndiyo wanategemea humo kwa chakula na mazao ya biashara.

Wacha kusema ati watu ni wavivu wakati maisha yao ni ya shida.
 
Unajua maana ya uzalishaji katika maana halisi ya uzalishaji , na maana ya uvivu pita mji mkongwe karibu na maskani ya CUF/ACT wakati wengi wa sehemu hiyo wanafanya nini?? Ingia kwenye hotel za sehemu hizo , wapishi wa hotel wanatoka wapi.

Na kama unasema ardhi ni ndogo kulinganisha na idadi ya wakazi, je iweje watu hao hao hawataki muungano
 
Mkate shilingi 250 mnalalamika?
mkate wa boflo sio mkate yaan kule mkate wa boflo nadhani kama uku bara tunaita skonzi sina hakika kama nimendika vile inavyotakiwa ila kwa kuitamka kwa bara tunatamka skonzi
 
Punguza chuki ndugu,
 
Tatizo ni wavivu, hakuna uzalishaji , wanawategemea wabara ndio wafanye kazi zao
Wazanzibar kama ni wavivu nyinyi huko tanganyika mungelipana mishahara yenu kutoka wapi? posho mungepata wapi? chakula chenu kingetoka wapi? TRA wanakusanya hela kibao kutoka Zanzibar zinakuja tanganyika kwa ajili ya maendeleo yenu na maisha yenu nadhani hulifahamu hili., wazanzibari wangeacha kufanya kazi TRA wasingekuwa na cha kukusanya kukuletee huko kwa shughuli zenu za SGR, Flyover na mambo mengine., Tanganyika hawana maisha bila ya Zanzibar, mumekuwa mukiitegemea Zanzibar tokea uhuru na sasa kuiacha mnaona tabu mnaleta warundi siku za uchaguzi kuwauwa wazanzibar., Ni vile hamuna shukurani.
 
Mmmh jamani tunaitegemea zanzibar kwa lipi? Taja mambo matano tunayowategemea
 
Zanzibar vitu bei rahis kuliko huku bara. Kwa marejeo ya bei alizoweka mleta uzi.
 
mkate wa boflo sio mkate yaan kule mkate wa boflo nadhani kama uku bara tunaita skonzi sina hakika kama nimendika vile inavyotakiwa ila kwa kuitamka kwa bara tunatamka skonzi
Asante
 
Hujasema Pweza nae ni shingingapi, ndio mboga yangu muhimu.
Usijifanye wewe ni mzanzibari ilhali ni mdanganyika, kaa huko huko kwenu bara, ya zanzibar hayakuhusu. Shilingi sio shingingi na sio mboga bali ni mchuzi. Pweza sio chakula cha majani kwa hiyo sio mboga!
 
Hiyo number sita bora uifute kabisa!!!! Chipsi si chakula cha kizanzibari na anaejidai kuwa lazima apate chipsi jioni simhurumii kwa bei yake. Utalalamikaje juu ya bei ya chipsi ambacho si chakula cha asili ya kizanzibari ilhali mchele na sukari bei yake haifikii ya shani ya chipsi? Kwa mzanzibari ikiwa una uwezo wa kununua sahani ya chipsi ili watu wakuone tu kuwa uko barazani unakula chipsi jioni basi huwezi kulalamika na bei ya unga, sukari au mchele, vyakula ambavyo mtu akipata anaweza kupika na kula na familia yake nyumbani
 
Unaujua mkate wa boflo weye? Imo minane ktk hiyo mnayouziwa 1000 huko bara
Sasa si bora kusonga ugali tu, [emoji23][emoji23],yaani kadogo kuliko sconse tunazouziwa huku 300?..!!!
 
Back
Top Bottom