Na hili ndilo la kulitegemeaHuyo jamaa anahitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia na wa kiuchumi vinginevyo akirudi mtaani atajiuwa au atabaka tena au atajeruhi watu ilimradi arudishwe tena jela.
'Kula bure' ni siasa.wanakula bure thus why anang'ang'ania gereza
Katika hali ya kushangaza Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais John Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai kuwa hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.
Kwa sasa mfungwa huyo amepelekwa kwenye zahanati ya gerezani kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
#AzamUTV #AzamTVTZ #AzamTWO #AzamNewsView attachment 1287707View attachment 1287708
Unamaanisha probation officer? Mzee wa Parole ni mwenyekiti wa TLP.Magereza Hawajawandaa kwa maisha yahuku uraiani pia sijui kama Tz. Kuna system ya kuwa na parol officer ambae atahusika kufuatillia maisha ya mfungwa akiwa uraiani pindi atakapo gerezani. Serikali iangalie sana hii issue
Binge LA idea, kuna NGO moja INA hio program, sikumbuki NGO IPI ni fursa nzuri sana.Wale watu wa social works ambao hamna ajira jiungeni muanzishe NGO ya kusaidia watu waliotoka jela kuwawezesha rehabilitation ya maisha mapya huku mtaani baada ya kutoka jela.
Mshughulike na wale walio kosa makazi, shughuli za kufanya, au walio tengwa na jamii sababu ya kwenda jela au kutenda makosa yaliyo wapeleka jela.
Mtapata ruzuku(grant) kutoka serikalini na wafahili toka nje, ni pesa ndefu na ajira ya kudumu juu.
Hii hamtakuwa namisuko suko na wanasiasa kama zile NGO za watetezi wa haki za binadamu na kisheria.
Sasa mbona bado anapingu!
Hana hamu na awamu ya tano baada ya kufanyiwa umafia kijijini kwake Kiraracha hukoMzee wa Parole yuko wapi? Hizi ndiyo shughuli zake kuwasaidia wanaotoka jela.
Kwamba asijidhuru au atakimbia?!!Ni baada ya kujidhuru