Fafanua mkuu fafanua uwepesi uliopo Tz kuanzisha na kufanikisha biashara haraka ukilinganisha na sehemu zingineTanzania hiyohiyo, hivi huoni kuna millionaires na billionaires na wanabiashara Tanzania hapohapo sio hata nchi nyingine?
Hela ipo ni watu wazembe tu.
Sure mkuu,wengi wanafanya 'mind masterbation' na sio genuine entrprenuers.
Lakini hopes ni muhimu sana.
Fafanua mkuu fafanua uwepesi uliopo Tz kuanzisha na kufanikisha biashara haraka ukilinganisha na sehemu zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wengi hupenda kuwalaumu wengine kwa matatizo yao binafsi. Watu kama hawa huamini wao ni masikini kwa sababu mtu mwingine ni tajiri.Sasa kama wewe utaipata hiyo nafasi wakati sisi tupo maofisini ?
Ndo mana tunakuambia ukajiajiri ili umiliki hayo maghorofa kama sisi wa maofisini.
Au ulitaka uambiwe kaa nyumbani tu ulale ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wengi hupenda kuwalaumu wengine kwa matatizo yao binafsi. Watu kama hawa huamini wao ni masikini kwa sababu mtu mwingine ni tajiri.
Mtu akiwa na looser's mindset ni vigumu sana kumsaidia, kwa kuwa yeye kafeli anaamini kila kitu hakiwezekani. Badala aulize nitawezaje kufanikisha jambo unalonishauri atakwambia hicho ukisemacho hakiwezekani na hajawahi hata kujaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, wishful thinkers ndio wasiwanyanyase wanaopambana na hali zao.Basi acha tujipe hopes tu mkuu usitunyanyapae boss
Fafanua mkuu fafanua uwepesi uliopo Tz kuanzisha na kufanikisha biashara haraka ukilinganisha na sehemu zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu suala la kukosa ushindani wa ndani sio fursa hapa, tatizo kubwa ni initial capital, technical knowledge and exposure, na govt burecrancy (ukilitimba)......mwaka 2009 kilinichukulia wiki moja kuanzisha water purification process na kuuza maji Johannesburg, nikaangiza ndugu yangu anzishe kitu kama hicho hapa ikashindikana kabisa kwasababu ya vizingiti vya serikali kama TRA watu wa Mazingira, TBS , kavamiwa eti Ana kiwanda bubu...... ...wakati ni small scale industry ilio ajiri watu 4 tu, sio hilo tu ni mengi, mambo sio rahisi hapo ndomaana watu wanapenda kuajiriwa kuliko ku risk pesa zao kwa serikali isio eleweka.Tanzania haina competition kwenye biashara nyingi, vitu ambavyo vimefanywa nje havijafanywa Tanzania ni vingi mno, alafu vijana wengi wamelala wanategemea ajira kwa hiyo ukianzisha kitu kipya wao watakaa kuendelea kukaa ofisini wanakuoa tu unapiga hela. Nipo nje miaka mingi sasa na trust me huku kuanzisha kitu kipya ni ngumu mno karibia kila kitu washafikiria wengine wakafanya, na ukipata kitu kipya kama kina potential wapo viijana wengi smart na wana hela watajaribu kushindana na wewe wakule kichwa kabla hata hujatoka. Tanzania unaanzisha kitu kila mtu amelala wanakuangalia tu.
Ha haaa, uko sahihi mkuu. Kuna ex-girlfriend wangu nilikutana naye juzi kati hapa baada ya kupotezana kwa muda mrefu, akanikaribisha nimtembelee eneo lake analofanyia biashara.Umegonga vitu vya msingi sana.
Wadau kibao mtu akipokea pesa ananunua masimu ya nguvu na kujivinjari huku akisahau kuwa sasa hivi mtu anaitaka ajira kuliko sjira inavyomtaka mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani ukichukua ushauri wake ukaufanyia kazi ni dhambi? Mbona kama unataka kumlaumu jamaa kana kwamba ye ana jukumu la kukufundisha maisha?Ndio muanze nyie kuonyesha mifano ya hawa mnayoandika humu. Anzeni nyie kujiajiri ili watoto wenu waige waone kumbe inawezekana.
Wengi wenu wenye ajira hamjawahi ata kufungua banda la kuonesha mpira ila ndo mko mstari wa mbele vijana wajiajiri vijana wajiajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ipi unafanya mkuu ?
Upo sahihi Madamsafuher,
Fikra zako si sahihi.
Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.
Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.
Mkuu kwa jicho la nje tusaidie vitu viwili vitatu vilivyopo huko tuanzishe huku kabla watu hawajaamka. Tupeane ideas kabla ya kuitana wazembe.Tanzania haina competition kwenye biashara nyingi, vitu ambavyo vimefanywa nje havijafanywa Tanzania ni vingi mno, alafu vijana wengi wamelala wanategemea ajira kwa hiyo ukianzisha kitu kipya wao watakaa kuendelea kukaa ofisini wanakuoa tu unapiga hela. Nipo nje miaka mingi sasa na trust me huku kuanzisha kitu kipya ni ngumu mno karibia kila kitu washafikiria wengine wakafanya, na ukipata kitu kipya kama kina potential wapo viijana wengi smart na wana hela watajaribu kushindana na wewe wakule kichwa kabla hata hujatoka. Tanzania unaanzisha kitu kila mtu amelala wanakuangalia tu.
safuher,
Fikra zako si sahihi.
Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.
Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.
Duh vijana mnadharau sana! Kwahio tukipita na Brevis zetu na GX100 mnatuangalia chini sio?maana amerudi mpk kwny kuendesha Brevis na watu walishatoka huko,washkaji hua wanamjibu jaribu kufanya crrativity zaidi utatoboa tu hahah.
Hahah hapana mkuu mi mwenyewe kitu cha 1g-fe kilinibeba sana naikubali mpk leo,kwa hadhi mjomba aliyokua amejiweka yeye kuendesha brevis ni miujiza hahah.Duh vijana mnadharau sana! Kwahio tukipita na Brevis zetu na GX100 mnatuangalia chini sio?