Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Sasa kama wewe utaipata hiyo nafasi wakati sisi tupo maofisini ?

Ndo mana tunakuambia ukajiajiri ili umiliki hayo maghorofa kama sisi wa maofisini.

Au ulitaka uambiwe kaa nyumbani tu ulale ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wengi hupenda kuwalaumu wengine kwa matatizo yao binafsi. Watu kama hawa huamini wao ni masikini kwa sababu mtu mwingine ni tajiri.

Mtu akiwa na looser's mindset ni vigumu sana kumsaidia, kwa kuwa yeye kafeli anaamini kila kitu hakiwezekani. Badala aulize nitawezaje kufanikisha jambo unalonishauri atakwambia hicho ukisemacho hakiwezekani na hajawahi hata kujaribu.

Na ndio iliyopo humu jf!
 
Fafanua mkuu fafanua uwepesi uliopo Tz kuanzisha na kufanikisha biashara haraka ukilinganisha na sehemu zingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzania haina competition kwenye biashara nyingi, vitu ambavyo vimefanywa nje havijafanywa Tanzania ni vingi mno, alafu vijana wengi wamelala wanategemea ajira kwa hiyo ukianzisha kitu kipya wao watakaa kuendelea kukaa ofisini wanakuoa tu unapiga hela. Nipo nje miaka mingi sasa na trust me huku kuanzisha kitu kipya ni ngumu mno karibia kila kitu washafikiria wengine wakafanya, na ukipata kitu kipya kama kina potential wapo viijana wengi smart na wana hela watajaribu kushindana na wewe wakule kichwa kabla hata hujatoka. Tanzania unaanzisha kitu kila mtu amelala wanakuangalia tu.
 
Alikujaga dada mmoja humu JF kipindi cha nyuma,Full kujiita ladyboss,ponda sana vijana waliomaliza chuo akisema wapambane wasitegemee ajira tu,full kushauri vijana wapambane sana la sivyo atawalea mwenyewe kwa pesa zake mara paaaap ID ikaunganishwa na ID yake nyingine akitafuta mteja wa kununua kitanda chake na godoro lake used maisha yamekua magumu anataka kusepa mjini,hahah

Nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiii,modes ni Konyo sana aiseeeee.
 
Tanzania haina competition kwenye biashara nyingi, vitu ambavyo vimefanywa nje havijafanywa Tanzania ni vingi mno, alafu vijana wengi wamelala wanategemea ajira kwa hiyo ukianzisha kitu kipya wao watakaa kuendelea kukaa ofisini wanakuoa tu unapiga hela. Nipo nje miaka mingi sasa na trust me huku kuanzisha kitu kipya ni ngumu mno karibia kila kitu washafikiria wengine wakafanya, na ukipata kitu kipya kama kina potential wapo viijana wengi smart na wana hela watajaribu kushindana na wewe wakule kichwa kabla hata hujatoka. Tanzania unaanzisha kitu kila mtu amelala wanakuangalia tu.
Mkuu suala la kukosa ushindani wa ndani sio fursa hapa, tatizo kubwa ni initial capital, technical knowledge and exposure, na govt burecrancy (ukilitimba)......mwaka 2009 kilinichukulia wiki moja kuanzisha water purification process na kuuza maji Johannesburg, nikaangiza ndugu yangu anzishe kitu kama hicho hapa ikashindikana kabisa kwasababu ya vizingiti vya serikali kama TRA watu wa Mazingira, TBS , kavamiwa eti Ana kiwanda bubu...... ...wakati ni small scale industry ilio ajiri watu 4 tu, sio hilo tu ni mengi, mambo sio rahisi hapo ndomaana watu wanapenda kuajiriwa kuliko ku risk pesa zao kwa serikali isio eleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umegonga vitu vya msingi sana.

Wadau kibao mtu akipokea pesa ananunua masimu ya nguvu na kujivinjari huku akisahau kuwa sasa hivi mtu anaitaka ajira kuliko sjira inavyomtaka mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaa, uko sahihi mkuu. Kuna ex-girlfriend wangu nilikutana naye juzi kati hapa baada ya kupotezana kwa muda mrefu, akanikaribisha nimtembelee eneo lake analofanyia biashara.

Basi nilipopata wasaa nikafika pale nikakuta ana kiofisi japo ni kidogo ila amebuni fursa nzuri na inaingiza kipato kizuri.

Baada ya kumhoji kuhusu biashara yake (huwa napenda kujifunza daily) akanionesha na trend ya mauzo nikabaini ile biashara inamlipa sana. Tatizo ana mipango mibovu na matumizi ya hovyo.

Aliniomba nimuazime pesa afate mzigo kwa kapungukiwa na kwa muda mchache niliokaa pale wateja wengi wanafika kutafuta bidhaa na ameishiwa.

Anatumia simu 2 ambazo kwa pamoja bei yake ni 1.4m,sikumkawiza nikamwambia kwa nini ununue masimu ya gharama hivo badala ya kuongeza mtaji then biashara ikikua ndio utafanya hayo manunuzi ya anasa? Akabaki katoa macho, imagine anaomba nimuazime laki 5 tu.

Mara nyingi sana sio kwamba watu hawana fursa ama mitaji wengi wetu hatuna financial literacy, tumejawa na ulimbukeni wa kutaka 'tuonekane'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio muanze nyie kuonyesha mifano ya hawa mnayoandika humu. Anzeni nyie kujiajiri ili watoto wenu waige waone kumbe inawezekana.
Wengi wenu wenye ajira hamjawahi ata kufungua banda la kuonesha mpira ila ndo mko mstari wa mbele vijana wajiajiri vijana wajiajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani ukichukua ushauri wake ukaufanyia kazi ni dhambi? Mbona kama unataka kumlaumu jamaa kana kwamba ye ana jukumu la kukufundisha maisha?

Pia badili namna ya kuparceive mambo,sijaona sehemu umuulize mtoa mada labda mfano, kwa ambao wako kwenye hali hii na hawakupata wasaa wa kujifunza kabla wanaweza kuanzia wapi.

Yaani we unaona kama kaja hapa kuwananga wasio na ajira. Hata kama ingekuwa hivyo, jifunze jambo moja litakusaidia mkuu, try to get the best out of anything regarsless of bad it may be.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safuher,
Fikra zako si sahihi.

Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.

Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.
Upo sahihi Madam
 
Tanzania haina competition kwenye biashara nyingi, vitu ambavyo vimefanywa nje havijafanywa Tanzania ni vingi mno, alafu vijana wengi wamelala wanategemea ajira kwa hiyo ukianzisha kitu kipya wao watakaa kuendelea kukaa ofisini wanakuoa tu unapiga hela. Nipo nje miaka mingi sasa na trust me huku kuanzisha kitu kipya ni ngumu mno karibia kila kitu washafikiria wengine wakafanya, na ukipata kitu kipya kama kina potential wapo viijana wengi smart na wana hela watajaribu kushindana na wewe wakule kichwa kabla hata hujatoka. Tanzania unaanzisha kitu kila mtu amelala wanakuangalia tu.
Mkuu kwa jicho la nje tusaidie vitu viwili vitatu vilivyopo huko tuanzishe huku kabla watu hawajaamka. Tupeane ideas kabla ya kuitana wazembe.
 
Na sijui imekuaje nimemkumbuka mdau wetu mmoja ambae ni mmoja wa Co-founder wa Co. illiyokua inajihusisha na mambo ya civil engineering.

Wkt tunamaliza chuo miaka hio yeye alikua mkubwa kwetu kiumri,tuna anza kazi E&Y kama juniors jamaa anatuponda kichizi ooh shida madogo hampendi kuumiza kichwa mnapenda sana kutafuniwa,mnapenda kufanya kazi Co. zilizoanzishwa na vidume wenzenu nyie mje mteleze tu,umizeni kichwa muwe creative bla bla bla kibao.

Tukikutana nae batani enzi hizo bar 1 kwa kinje full kutupiga madongo afu kama anatukwepa flani maana hatuko kwny level za u-ceo wkt kibongo bongo mfukoni tulikua njema tu,aisee mara paap Magu kaingia,jamaa akaanza kuletewa wakaguzi,mara miradi hewa,mara ma-Godfather wake kule ujenzi wakahamishwa.

Hapo wadau wakawa wanasikilizia kuona ile creativity yake aliyokua anaisema siku zote.So far creativity ni bila bila ujanja ilikua ni kula na jamaa wa serikalini hakuna cha creativity wala nini.

Sasa hivi sisi tulishatoka huko kwny ajira tuko tunapambana na mambo mengine huku mtaani ni zamu yake jamaa kukwepwa maana amerudi mpk kwny kuendesha Brevis na watu walishatoka huko,washkaji hua wanamjibu jaribu kufanya crrativity zaidi utatoboa tu hahah.

Point ya msingi hapa:tusi-judge sana watu kwny haya mambo ya kujiajiri vs kuajiriwa sababu huwezi kujua mazingira ya mtu husika anayopitia kwa wkt huo na kufanikiwa kwny biashara kuna mambo mengi sana from uaminifu,committments,hardworking,lucky,opportunities,timing etc na sio rahisi rahisi kama watu wanavyotaka kutuamimisha hapa.

Records zinaonyesha kwny kila biz 10 zinazoanzishwa 8 zinafeli,so mambo ni mengi na ukitoboa usisahau ulikotoka na kujiona we ni bonge la genious na wengine sio wapambanaji.
 
safuher,
Fikra zako si sahihi.

Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.

Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.

Hata kwa maneno anaweza akaelewa kama ambavyo darasani anaelewa. Yaani unataka kwakuwa mimi ni mwajiriwa basi nihubiri habari za kuajiriwa? au nikitaka mwanangu ajue kuwa hakuna ajira basi niache kazi nijiajiri? unaongea kiuhalisia ama?

Mimi naona mtoa mada yuko sahihi sana, ajira hakuna lakini pia hazina maslahi mazuri kiivoooo...ni muhimu kuwafandisha namna ya kujiajiri hata kama sisi tumeajiriwa, ni muhimu pia kuwaeleza kuwa ajira hakuna kwakuwa wasomi washakuwa wengi sana nyakati hizi. Kuna mwingine ametoa pendekezo la kuwapeleka watoto VETA hilo pendekezo ni zuri sana.
 
Back
Top Bottom