Tetesi: Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya Amana dr Shimwela amejivua madaraka

Tatizo ni maropoko toka kwa vijana wa Magu.
 
Achunguzwe na takukuru kama hajapiga Hela za chf, basket fund, malipo ya manesi hewa, magonjwa yasiyopewa vipaumbele, ukimwi na malaria
 
Vice Chancellor wa Nelson Mandela Institute of science and technology Prof Mwamila nae ali resign ghafla mwishoni mwa July.
 
Kuna watu wamajitambua hadi inafurahisha, safi sana DR. linda heshima yako kabla hawa jamaa hawajaiharibu.
 
NDOMANA MADOKTA WENGI WALIKIMBIAA KUFANYA KAZI BOTSWANA NA NAMIBIBIA...
NA WENGI WAO WANA MAISHA MAZURI TU..

OVA
 
Ufanisi umepotea maofisi mengi ya umma watu hawafanyi kazi kwa moyo
 
Tatiz

Tatizo wanaingilia maswala yanayohitaji ufumbuzi wa kitaalamu wanaweka siasa ili waonekane wanafanya kazi...hasa Ma Dc na Rcs.
Ma rc na ma dc wanaingiliaa kazi za madokta....utafikiri wanajuaa kitu chochote kihusu fani huyoo....
HAWA WANASIASA LAZIMA WAHESHIMU TAALUMAA ZA WATU

OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…