peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hata baada ya sarcasm yangu bado hujaelewa?Sawa jomba Cha msingi chukua tahadhari usiwe bwege na kuleta hoja zisizo na umuhimu...una behave Kama mtoto wa darasa la kwanza, vipi weweww
Wewe kwa mawazo yako unafikiri zinasaidia nini.Takwimu zinasaidia Nini?
Takwimu kutoka wapi?Watoe na takwimu za wagonjwa... Sio kusema kwa mafumbo...
Wabunge wanatumia mitishamba!Huyu Pepo akigipa bungeni itakuwa poa Sana natamani kuona wabunge wakidondoka mmoja baada ya mwingine
Umeamniwa magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza.Si aseme tu kuwa korona ipo.Hivi hawa wanaogopa nini?
Kama alivyodondoka yule mdhamini wa chama chenu?Huyu Pepo akigipa bungeni itakuwa poa Sana natamani kuona wabunge wakidondoka mmoja baada ya mwingine
Halafu idadi ya wachungaji na mapadre ndo imepamba motoMbona matamko kinyemela!
Serikali ijivue aibu iliyosababisha vifo vingi hivi karibuni..
Halafu idadi ya wachungaji na mapadre ndo imepamba moto