peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tunakoelekea Hadi March 2025 kama hutachukua hatua za makusudi, kuhusu corona, tutapoteza nguvu kazi kubwa ya taifa letu. Misiba,makanisa,misikiti,masomo,makazini,vyuoni,shule ,sherehe nk. Watu wapewe taadhari na elimu ya kutosha,ikiwemo serikali kuwapatia wananchi barakoa za kujizuia.