Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

Tunakoelekea Hadi March 2025 kama hutachukua hatua za makusudi, kuhusu corona, tutapoteza nguvu kazi kubwa ya taifa letu. Misiba,makanisa,misikiti,masomo,makazini,vyuoni,shule ,sherehe nk. Watu wapewe taadhari na elimu ya kutosha,ikiwemo serikali kuwapatia wananchi barakoa za kujizuia.
 
Sawa jomba Cha msingi chukua tahadhari usiwe bwege na kuleta hoja zisizo na umuhimu...una behave Kama mtoto wa darasa la kwanza, vipi weweww
Hata baada ya sarcasm yangu bado hujaelewa?
Una kichwa kizito!
 
Kwahiyo sasa wanakubali kuwa mbele kuna nyoka sio na tahadhari ni Muhimu?

Sasa naomba niwaulize wale wote waliokuwa vimbelembele humu ndani kupinga kuwa Tanzania kuna corona na hali ni Mbaya, bado msimamo wao ni huo tu?
 
Sio tu tunasubiri matamko lakini hayo matamko yakitoka ni ya uwongo! Ni hivi, tusiyasubiri na hata yakitoka tusiyaamini maana hayatakuwa na maana tena.
 
Huyu Pepo akigipa bungeni itakuwa poa Sana natamani kuona wabunge wakidondoka mmoja baada ya mwingine
 
Kwa hiyo barakoa hazitukingi na kifua kikuu. Naona wakuu na watawala taratibu wanaanza kunena kauli moja na sisi wanyonge au wanyongwa.

Nasikitika kuona huyu prof nae ameamua kustaafu vibaya.
 
Nimeshapata vifo vitatu ndani ya wiki moja vya ndugu zangu wa karibu na hawakua wanaishi mkoa mmoja.
 
Lakini kusiwe na mtu mwingine anayesema mbele yetu hakuna hatari, watu wetu wanauelewa tofauti. Tunashukuru kwa Profesa kuwa mkweli ingawa inaelekea kwa hofu fulani.

Tufike mahali tutumie taaluma zetu kuisaidia jamii wasio na uelewa. Ikiwezekana itolewe amri kabisa watu waanza kuchukua tahadhari kwani mbele yetu hali si shwari hata kidogo.
 
Wetu wengine na wazindikaji tu. na wachonganishi. Watu kuambiwa kuchukua tahadhari huyu prof ndo kaanza? Mbona hata No 1 alituelekeza hivyo?
 
mbona anaongea kwa mafumbo kama yupo kwenye kikundi cha wadada wanaosutana?.

tuchukue tahadhari? Tahadhari ya kuzuia ugonjwa gani?
 
Back
Top Bottom