Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu zinasaidia Nini?
ndio sababu yakutaka kufahamu je zinaondoa coronaUjui umuhimu wa takwimu?
Tunasubiri uzinduzi wa kirusi kipya Cha covd....
mkuu nitajie nchi walochukua tahadhali zote na wapo salama.
Wewe acha ujinga wewe Kama huwasikilizi wataalam wa afya na madaktari shauri yako...watanzania wote tunazingatia miongozo yao..usiendelee kwa punguwani jomba kwa kukosa maarifaMbona matamko kinyemela!
Serikali ijivue aibu iliyosababisha vifo vingi hivi karibuni.
Ati tumeomba kwa Mungu na Tanzania hakuna covid!
Matamshi kama hayo tayari yameua watu wengi.
Tukubali kuwa inabidi tuwasikilize wataalam wa Afya na madaktari.
Kwa sababu wewe bado unapumua!Kwanini wewe ujafa
ndio sababu yakutaka kufahamu je zinaondoa corona
Nyie ndio kwenye mtihani mkiulizwa Lagos iko nchi gani, mnajibu Brazil.Wewe acha ujinga wewe Kama huwasikilizi wataalam wa afya na madaktari shauri yako...watanzania wote tunazingatia miongozo yao..usiendelee kwa punguwani jomba kwa kukosa maarifa
Hakuna nchi ya namna hiyo, ila tahadhari inakufanya ujiandae, kwa mfano ujue majani ya kutengeneza nyungu yanapatikana wapi na namna ya kuipiga nyungu, vilevile kama ni limao, tangawizi na vinginevyo viwe karibu.mkuu nitajie nchi walochukua tahadhali zote na wapo salama.
Huoni kwamba wasiochukua tahadhari hali itakuwa mbaya zaidi? Mganga mkuu wa serikali kasema tuchukue tahadhariMarekani na nchi za ulaya zote wanachukua tahadhari na bado watu wao wanakufa balaa..sasa ije iwe sisi..tuambie kwanini wanakufa sana licha ya tahadhari hizo
Jaribu kuufikirisha ubongo wako kwenye side nyingine, fikiria wao wanachukua tahadhari lakini wanakufa vile wewe ambaye uchukui tahadhari utakuajeMarekani na nchi za ulaya zote wanachukua tahadhari na bado watu wao wanakufa balaa..sasa ije iwe sisi..tuambie kwanini wanakufa sana licha ya tahadhari hizo
mkuu kwa apo upo sawa sawia usisahau mazoeziHakuna nchi ya namna hiyo, ila tahadhari inakufanya ujiandae, kwa mfano ujue majani ya kutengeneza nyungu yanapatikana wapi na namna ya kuipiga nyungu, vilevile kama ni limao, tangawizi na vinginevyo viwe karibu.
Takwimu zinakusaidia niniWatoe na takwimu za wagonjwa... Sio kusema kwa mafumbo...
Sawa jomba Cha msingi chukua tahadhari usiwe bwege na kuleta hoja zisizo na umuhimu...una behave Kama mtoto wa darasa la kwanza, vipi wewewwNyie ndio kwenye mtihani mkiulizwa Lagos iko nchi gani, mnajibu Brazil.
Watoe na takwimu za wagonjwa... Sio kusema kwa mafumbo...