bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Kwenye hadithi za Alfu lela u lelaHiyo ya waarabu umeitoa wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hadithi za Alfu lela u lelaHiyo ya waarabu umeitoa wapi mkuu?
Chato is part of Tanzania bara kiasi kwamba mbara yeyeote Yule anayo access ya kutumia au kuwa na haki kitu chochote kilichojengwa chato. Mtanganyika yeyote anaweza ajiriwa chato airport lakini huyo mtanganyika hawezi ajiriwa Zanzibar airport . Ila mbara Hana haki Zanzibar kiasi kwamba kuwekeza Zanzibar Kwa hela za bara ni kuwanyinya watanganyika. Zanzibar na chato ni tofauti kabisa kiasi kwamba namkumbuka Mch Christopher mtikilaAliyemtangulia alielekeza kwao Chato, TZ ya umoja aliyoijenga mwalimu imebaki kwenye makaratasi.
Mwendazake aliwekeza na Chato is part of Tanzania bara kiasi kwamba mbara yeyeote Yule anayo access ya kutumia au kuwa na haki kitu chochote kilichojengwa chato. Mtanganyika yeyote anaweza ajiriwa chato airport lakini huyo mtanganyika hawezi ajiriwa Zanzibar airport . Ila mbara Hana haki Zanzibar kiasi kwamba kuwekeza Zanzibar Kwa hela za bara ni kuwanyinya watanganyika. Zanzibar na chato ni tofauti kabisa kiasi kwamba namkumbuka Mch Christopher mtikilaMbona Mwendazake alihamishia Ikulu Chato na uwanja wa Ndege, mbuga za Wanyama kutoka serengeti
Leo unamshangaa Mama kwenda Zanzibar huo ni wivu wa Kisukuma
Eti umeambiwa huko Zanzibar watakimbilia kwa waarabu
NI uongo mkubwa Mwendazake alikuwa mkabila no. 1Mwendazake aliwekeza na Chato is part of Tanzania bara kiasi kwamba mbara yeyeote Yule anayo access ya kutumia au kuwa na haki kitu chochote kilichojengwa chato. Mtanganyika yeyote anaweza ajiriwa chato airport lakini huyo mtanganyika hawezi ajiriwa Zanzibar airport . Ila mbara Hana haki Zanzibar kiasi kwamba kuwekeza Zanzibar Kwa hela za bara ni kuwanyinya watanganyika. Zanzibar na chato ni tofauti kabisa kiasi kwamba namkumbuka Mch Christopher mtikila
Chato ni wilaya ndani ya Tanzania, Zanzibar ni nchi ndani ya nchi.Mbona Mwendazake alihamishia Ikulu Chato na uwanja wa Ndege, mbuga za Wanyama kutoka serengeti
Leo unamshangaa Mama kwenda Zanzibar huo ni wivu wa Kisukuma
Eti umeambiwa huko Zanzibar watakimbilia kwa waarabu
Ni kweli wa-Zanzibari hawautaki muungano na ni kwa sababu wanaamini, ukivunjika kuna neema ya Sultani itakuja. Bila hivyo, huwezi kuitunza Z'bar. Haukna chochote kwa mwananchi wa kawaida. Z'bar haina kodi za kujiendesha kama serikali.Nadhani mtoa mada haelewi kuhusu inavyoendeshwa zanzibar,ila ngoja leo tumpatie kidogo apate ufahamu,
Sababu kuu yabkutokuendelea zanzibar ni makusanyo ni TRA kukusanya kodi halafu zikatumika TANZANIA,zanzibar inajiendesha kutokana na kodi hafifu inayolipwa kupitia ZRB,
Tanganyika kwavile imechukua uhuru wa zanzibar,tanganyika kuipa fedha zanzibar ilipaswa iwe lazima,
Kwa uelewa wangu wazanzibar hasa hawautaki muungano,rejea kisa cha UAMSHO,watanganyika ndo wenye shida na muungano,ndo mana ni kama vile wanaikalia zanzibar kimabavu,