Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Ccm fitna nyingi. Ndiyo ni hapana na hapana ni ndiyo. Majukwaani utafikiri kila kitu ni sawa, mbele ya kamera ni mapambio nyuma ya pazia fitna tupu na hii itawatafuna hadi mifupa
 
Wameshashindwa kabla hata ya kuanza
Huwezi tafuta cheo kwa gharama ya kumuumiza mwananchi

..mambo yakienda vizuri sifa anapewa raisi peke yake.

..mambo yakiharibika wanalaumiwa wasaidizi, raisi hatajwi.

..raisi ndiye anayeteua wasaidizi, hivyo anapaswa kuwasimamia vizuri ili watimize majukumu yao kwa ufanisi.
 
Lile Bwawa la Umeme litatuangalia kwa macho makubwa sana
 
Blah blah za kila siku za dizaini ya "tunampenda rais wetu", "tunamwanini rais wetu", "mama anaupiga mwingi", nk. Kwani mlimchagua kwenye sanduku la kura?
 
Any Yet you can See this and She Can't !!!

What needs to happen for the likes of your to place the blame on her ?

Au ni yale Rais hakosei ?!!!!
 
Alijihujumu mwenyewe kwa kuteua wapiga porojo.

Mambo yakiwa bien,sifa na utukufu anapewa yeye ila yakigoma wanalaumiwa wengine.

Tulimwambia Makamba kwamba propaganda zake zitajitenga tu na ukweli,lilikuwa ni suala la muda.

Mara ukarabati haukufanyika kwa miaka mitano mara vile.

Kiko wapi?
 
Kina cha maji kimeshuka Ruvu chini na juu, maji yanazalishwa kwa 40% tu, hakuna mvua hii huwezi kuita hujuma.

Issue ya umeme Makamba amewekwa na mama kwahiyo kama ni hujuma basi mama anajihumu mwenyewe, huwezi kuweka wahuni kwenye wizara nyeti kama ya Fedha na ya nishati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…