FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Gesi ipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tungebaki na gesi tu, hilo bwawa linaweza kuwa changamoto sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gesi ipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tungebaki na gesi tu, hilo bwawa linaweza kuwa changamoto sana
Ccm fitna nyingi. Ndiyo ni hapana na hapana ni ndiyo. Majukwaani utafikiri kila kitu ni sawa, mbele ya kamera ni mapambio nyuma ya pazia fitna tupu na hii itawatafuna hadi mifupaHii comment sio ya kupuuza, hii ndio picha wanayopewa watanzania kuhusu serikali yao, na ujumbe uwafikie
#WaziriMwenyeDhamanaYaUmeme
#WaziriMwenyeDhamanaYaMaji
#IdaraZoteZinazohusika
Sisi wananchi tunasema mama yetu Samia anza kuwashughulika wote wanaoshindwa kuhudumia wananchi. Tumbua mama uteue walio tayari kufanya kazi usiku na mchana kuondoa hizi kero ndogondogo kwa wananchi
Wameshashindwa kabla hata ya kuanza
Huwezi tafuta cheo kwa gharama ya kumuumiza mwananchi
Blah blah za kila siku za dizaini ya "tunampenda rais wetu", "tunamwanini rais wetu", "mama anaupiga mwingi", nk. Kwani mlimchagua kwenye sanduku la kura?Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona.
Kwa kasi ya ajabu tunarudi miaka Ile ambayo mazingira yalikua yamepambwa kwa sauti za majenereta usiku na mchana
Au ndio ule mkakati wa kuutaka urais umeanza!? Acheni mambo yenu buana. Mama Samia yupo sana bado, ndio kwanza kumekucha
Hali ni mbaya sana na hatari kwa afya kwa jiji lenye wakazi wengi zaidi nchini, Dar Es Salaam. Watu tumepona kwenye corona lakini sasa mnataka kutulazimisha tufe kwa kipindupindu
Watendaji mnaohusika kwenye haya maeneo fanyeni kile kilichokua kinafanyika miaka mitano iliyopita hadi tukasahau kabisa kero ya umeme na maji. Kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kwa huduma muhimu kama umeme na maji halafu hao wananchi wakakosa hizo huduma ni wazi kabisa kwamba kufanya imeshindikana. Bora kuiacha office kuliko kukaa kwenye office halafu huduma asipatikane
Tanesco na idara za maji sisi wananchi tunamuamini rais wetu na yeye amewaamini nyie. Mnapopewa dhamana ya kutuhudumia halafu mnaamua kutuhujumu tutapaza sauti kwamba kazi imewashinda. Heri kuteua na kutumbua kuliko wananchi kuteseka kwa kukosa huduma za msingi tena ambazo wanazichangia kwa kodi zao wenyewe
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Cc Wizara ya Afya Tanzania
Hujuma dhidi ya Samia zimekuwa nyingi tena ni haohao Wanaccm wenzake wameanza kampeni.
Ni ngumu sana ndugu, sijui kama ulishawahi kukiona kibonzo cha Masoud kikionesha Mama mmoja kalala na Joka lenye kutisha.[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956] sasa kwani wasiwakate na kuwafukuza wanao muhujumu Rais?
Ili atimuliwe kirahsi atangaze Nia, mapemaaaaaa hutomuona .Nini kifanyike ili Mama amtimue Waziri wa Maji? au ni mpaka Wananchi wafe kwa kiu?
Hali ya hewa, mvua imechelewa sana, mabwawa y hydro electricity yanaadhirikaHujuma dhidi ya Samia zimekuwa nyingi tena ni haohao Wanaccm wenzake wameanza kampeni.
Mwaka huu hata Idara ya Hali ya Hewa imesema Mvua zitakuwa ndogo, Raisi hana uwezo wa kuita Mawingu na kuyaamuru yanyeshe.Awamu ya tano walipata wapi maji na umeme?? Mwambieni kipara akaulize wenzie.
Gesi ipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miaka mitano iliyopita mvua kubwa zilinyesha miaka yote?Mwaka huu hata Idara ya Hali ya Hewa imesema Mvua zitakuwa ndogo, Raisi hana uwezo wa kuita Mawingu na kuyaamuru yanyeshe.
Kina cha maji kimeshuka Ruvu chini na juu, maji yanazalishwa kwa 40% tu, hakuna mvua hii huwezi kuita hujuma.Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona.