Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Jibu hoja ,ni vipi watumishi wanaihujumu serikali ya awamu ya 6?

Kuhusu kuhujumu hapana.

Isipokuwa kuna tatizo la kutowajibika kwa Viongozi wa serikali wenye maamuzi.

Wameshindwa kuwa na maono (Vision).

Kiongozi mkubwa (C.E. Os) wanapaswa kubeba maono yaani Foreseers wa wananchi .

Maji ni hitaji la msingi sana la binadamu linapaswa kupewa kipaombele kikubwa.
 
Ulizia % yenye kupata maji safi na salama utachoka ilivyo ndogo na bado uhakika wa upatikanaji wa huduma through out the year ni mashaka matupu [emoji108]

Ikifika hapo nachoka kabisa aisee!
 
Kuhusu kuhujumu hapana.

Isipokuwa kuna tatizo la kutowajibika kwa Viongozi wa serikali wenye maamuzi.

Wameshindwa kuwa na maono (Vision).

Kiongozi mkubwa (C.E. Os) wanapaswa kubeba maono yaani Foreseers wa wananchi .

Maji ni hitaji la msingi sana la binadamu linapaswa kupewa kipaombele kikubwa.
Tatizo ni maono au pesa? 😜😜😜😜😜😁😁😁😁
 
Tatizo ni maono au pesa? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Maono kwanza pesa inafuata.

Kwenye maono ndipo utafika hadi kujua mbinu na mikakati na activities katika kufikia lengo kiuhalisia.

Viongozi wanapaswa kuwiwa na kuona kero na shida za wananchi wanaziondosha.
 
Tatizo ni ccm, hiki kirusi tusipokitoa kinaendelea kututafuna hadi tufe. Ccm imeweka mifumo so corrupt kiasi kwamba hakuna tena wanachoweza kufanya, we need strong people to insert strong institutions.
 
Back
Top Bottom