Mgawo wa Umeme wasitishwa, utafiti mpya umeona hauhitajiki kama awali

Mgao upo, maeneo ya Mbezi beach umeme hakuna tangu saa 1 asubuhi
Hamjanunua LUKU katika Majumba yenu hayo ya Urithi mnakimbilia kusema mmekatiwa Umeme wakati sehemu kubwa ya Mbezi Beach tokea Kunakuchwa hadi muda huu Umeme upo. Acheni Uwongo na Uzushi.
 
Walisema mgao ni kwa ajili ya matengenezo. Sasa hali ya mabwawa inakujaje tena? Hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu. Yaani ni mtu akiamka anajiropokea tu.
 
Wewe ni robot? Watu walipolalamika kuhusu umeme wa mgao ulisema ni lazima uwepo ili maintenance ifanyike.
Leo imeletwa taarifa kuwa mama Samia kaingilia Kati, unapongeza na kuona hakuna haja ya mgao.
Haoni haja ya matengenezo ndugu roboti😂😂😂
 
Yaani mpaka Rais aseme! Kwa hiyo Tanesco hakuna wataalamu wa kushauri nini cha kufanya ...! Hii ni hatari.
 
Mbezi ya Kimara tangu j3 wanakata saa mbili asubuhi wanarudisha saa 6 usiku, huu utafiti wameufanya saa ngapi? Kwa maana hata leo pia wamekata kuanzia saa 2 asubuhi
Wachagga na Wapare jitahidini mjigawe Kuishi hayo Maeneo kwani hata kukitokea matatizo tu ya Umeme mkiwaita Tanesco hamuwapi hata Asante tu ya Tsh 5,000/ au Tsh 10,000/ kutokana na Ubahili wenu wa Asili na kujifanya nyie ndiyo Watanzania pekee mnaoijua Hela ila wengine hawaijui. Na hapo bado Kudadadeki.....!!!
 
Wewe ni robot? Watu walipolalamika kuhusu umeme wa mgao ulisema ni lazima uwepo ili maintenance ifanyike.
Leo imeletwa taarifa kuwa mama Samia kaingilia Kati, unapongeza na kuona hakuna haja ya mgao.
Hapana mkuu, utakuwa umesoma comment ya mtu mwingine.
 
Massive U-turn!!

 
Hahahaha kwa hiyo sio matengenezo ya uharibifu yaliyofanywa na mwendazake bali ni maji ya Bwawa hahahaha. Hakika kwenye hii wizara kuna uongo mwingi sana hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utafiti umefanyika? When and where? Jamani, kwanini waziri anakuwa muongo, utafiti ni kitu kikubwa na ni open. 😪
 
Hamjanunua LUKU katika Majumba yenu hayo ya Urithi mnakimbilia kusema mmekatiwa Umeme wakati sehemu kubwa ya Mbezi Beach tokea Kunakuchwa hadi muda huu Umeme upo. Acheni Uwongo na Uzushi.
Huku chini maeneo ya BOT Flats mpaka kuvuka daraja hakuna umeme kuanzia saa moja asubuhi.
 
Kwahiyo raisi asingesema utafiti usingejulikana. Nchi ina mambo hii[emoji23]
 
Toka asubuhi saa 1 hatuna Umeme.. asanteni tena kwa matamko yakisiasa
 
Sababu ya kwanza ni rais kasema. Hivi kweli tupo serious [emoji850][emoji850][emoji850][emoji849][emoji849][emoji848]
 
Tuna mawaziri wa hovyo sana kuwahi kutokea nchini.

Hivi N/waziri mzima unasimama mbele ya bunge tukufu nakuongea upupu huo kweli.

Eti sababu ya kwanza ni rais samia kasema, kwani siku hizi samia amekuwa mitambo ya kufua umeme kiasi kwamba akisema tu vitambo yote iliyosemwa kukarabatiwa inapona?

Narudia tena, hii nchi tuna viongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea.
 
Ina Maana wakati wa Magufuli Tanesco umeme ulikuwa hau respond na hawafanyi marekebisho.Sasa Maagizo ya Samia yanatengeneza umeme .Hili la kukata umeme nadhani Prezidaa kaona halijakaa sawa wananchi hawamuelewi pia linamvurugia kwa Wananchi.Makamba wizara ya jinsia na watoto au michezo na utamaduni ingemfaa sio Madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…