Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kila kitu lazima eti atajwe rais kuwa ndio amesema!!ina maana wao kama wao hawawezi, kutafuta namna!hadi rais ndio atoe maelekezo!!Ni usanii mtupu, huo utafiti ni upi?
Hakuna cha utafiti wala nini walikuwa wanatafuta tu attention ya wananchi ccm bhanaAkiwa bungeni, Naibu waziri wa Nishati, Stephen Byabato ametangaza kusitisha mgao uliotangazwa awali kwa madai kwamba hauhitajiki baada ya kufanya utafiti huku wakiwa wamepokea maelekezo kutoka kwa Rais Samia kwamba mgao usiwe mkali kama ilivyotangazwa.
Kupungua kwa matumizi ya umeme, mvua zinazoendelea na kutumia mitambo ya TPDC kwenye gesi vimetajwa kama sababu ya kuuhairisha.
=========
Mbunge: Katakata ya umeme inayoendelea na mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa, mwanzo tulielezwa ni kwasababu ya matengenezo ambayo hayakufanyika kwa miaka mitano, maada ya muda mfupi tukaambiwa ni kwasababu ya mabwa kukauka wakati huo huo TANESCO wanasema hakuna mgao wa umeme baadae Tanesco wanatangaza mgao wa umeme.
Tuelezwe na Serikali kwasababu linaathiri sana watanzania. Taifa liko kwenye hali ngumu ya ukosefu wa umeme. Nini kinachosababisha hali hii ya katakata na mgao wa umeme?
Naibu Waziri(Nishati): Tanesco haikatikati umeme, hakuna mtu ambae ameajiriwa kwa ajili ya kukata umeme, mifumo ya umeme inarespond kutokana na mazingira iliyokuwa nayo na kikubwa kinachotokea, pale ambapo mitambo yetu inazidiwa na matumizi yenyewe automatically inakata umeme.
Tunachofanya ni kuhakikisha tunaongeza nguvu za mitambo.
Tulitarajia kwenye marekebisho ya mitambo yetu ya kufua gesi ambayo inazalisha sehemu kubwa zaidi, twende tukarekebishe kwenye mitambo ya gesi. Matarajio makubwa ya mgao ambayo tulidhani tutakuwa nayo hatutakuwa nayo.
Sababu tatu zilizopelekea kuahirishwa mgao mkali
- Kwa maelezo ya Rais, amesema mgao usiwe mkali, tukabaini tunaweza kuchepusha gesi baadhi ikapitia mitambo ya TPDC badala ya kampuni ya Paet
- Hali ya mabwawa imeanza kurejea katika hali nzuri
- Umeme ni supply and demand, kile ambacho tulitarajia kitahitajika sicho kinachohitajika, tutahakikisha watu wanaendelea kupata umeme.
Biashara za Majenereta. Mitaji ya 2025 inatutia adabu.Bw. February kasemwa sana kiasi kwamba inabidi apunguze kasi ya kuwakumbatia wenye biashara zao
Hii nchi haihitaji watu serious. Ukiwa serious unakua adui wa chama.Sababu ya kwanza ni rais kasema. Hivi kweli tupo serious [emoji850][emoji850][emoji850][emoji849][emoji849][emoji848]
hahahahahahahahahahahahahahahahaahhahahahahahhaahhhahahahhahhah...........Kwa hiyo sisi tuliokuwa tumejikoki tumeingia hasara! Maana nimenunua mabetri mapya ma3 ya simu na yote nimeyachaji juzi usiku.
Kuna mda sioni umhimu wa mawaziri maana naona kama wanapwaya sana had rais aingilie katiNa kila kitu lazima eti atajwe rais kuwa ndio amesema!!ina maana wao kama wao hawawezi, kutafuta namna!hadi rais ndio atoe maelekezo!!
Ni UCHAWA tu!!juzi zilipofunguliwa chaneli za Tz, waziri anasema eti mama yetu ndio ameniagiza!!ina maana bila yeye kusema hakuna kinachoweza kufanyika?!!Kuna mda sioni umhimu wa mawaziri maana naona kama wanapwaya sana had rais aingilie kati
Kuna mda nahis ni mbinu tu za kumbrand kwa wananchi ili ionekane rais anajar sana wananchi
Kuna mda nahis wanatafta attentions yetu
Kuna mda nahis kuna kakikund kanatafta umaarufu kwa nguvu
Yan sahv sio serikali tena bali nchinimekuwa chin ya mtu mmojaNi UCHAWA tu!!juzi zilipofunguliwa chaneli za Tz, waziri anasema eti mama yetu ndio ameniagiza!!ina maana bila yeye kusema hakuna kinachoweza kufanyika?!!
Pesa zikipelekwa sehemu eti pesa kazitoa mama!!na haya yalianza toka awamu ya 5!!!
Akiwa bungeni, Naibu waziri wa Nishati, Stephen Byabato ametangaza kusitisha mgao uliotangazwa awali kwa madai kwamba hauhitajiki baada ya kufanya utafiti huku wakiwa wamepokea maelekezo kutoka kwa Rais Samia kwamba mgao usiwe mkali kama ilivyotangazwa.
Kupungua kwa matumizi ya umeme, mvua zinazoendelea na kutumia mitambo ya TPDC kwenye gesi vimetajwa kama sababu ya kuuhairisha.
=========
Mbunge: Katakata ya umeme inayoendelea na mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa, mwanzo tulielezwa ni kwasababu ya matengenezo ambayo hayakufanyika kwa miaka mitano, maada ya muda mfupi tukaambiwa ni kwasababu ya mabwa kukauka wakati huo huo TANESCO wanasema hakuna mgao wa umeme baadae Tanesco wanatangaza mgao wa umeme.
Tuelezwe na Serikali kwasababu linaathiri sana watanzania. Taifa liko kwenye hali ngumu ya ukosefu wa umeme. Nini kinachosababisha hali hii ya katakata na mgao wa umeme?
Naibu Waziri(Nishati): Tanesco haikatikati umeme, hakuna mtu ambae ameajiriwa kwa ajili ya kukata umeme, mifumo ya umeme inarespond kutokana na mazingira iliyokuwa nayo na kikubwa kinachotokea, pale ambapo mitambo yetu inazidiwa na matumizi yenyewe automatically inakata umeme.
Tunachofanya ni kuhakikisha tunaongeza nguvu za mitambo.
Tulitarajia kwenye marekebisho ya mitambo yetu ya kufua gesi ambayo inazalisha sehemu kubwa zaidi, twende tukarekebishe kwenye mitambo ya gesi. Matarajio makubwa ya mgao ambayo tulidhani tutakuwa nayo hatutakuwa nayo.
Sababu tatu zilizopelekea kuahirishwa mgao mkali
- Kwa maelezo ya Rais, amesema mgao usiwe mkali, tukabaini tunaweza kuchepusha gesi baadhi ikapitia mitambo ya TPDC badala ya kampuni ya Paet
- Hali ya mabwawa imeanza kurejea katika hali nzuri
- Umeme ni supply and demand, kile ambacho tulitarajia kitahitajika sicho kinachohitajika, tutahakikisha watu wanaendelea kupata umeme.
Halafu tatizo sasa hivi ccm vimejaa vivulana vitupu.Hawaelewi hata miiko ya uongozi.CCM ni chama chenye watu wa ajabu sana na ni kama laana kuongozwa na chama cha aina hii.
Wasituchanganye mbona haupo toka saa asubuhiAkiwa bungeni, Naibu waziri wa Nishati, Stephen Byabato ametangaza kusitisha mgao uliotangazwa awali kwa madai kwamba hauhitajiki baada ya kufanya utafiti huku wakiwa wamepokea maelekezo kutoka kwa Rais Samia kwamba mgao usiwe mkali kama ilivyotangazwa.
Kupungua kwa matumizi ya umeme, mvua zinazoendelea na kutumia mitambo ya TPDC kwenye gesi vimetajwa kama sababu ya kuuhairisha.
=========
Mbunge: Katakata ya umeme inayoendelea na mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa, mwanzo tulielezwa ni kwasababu ya matengenezo ambayo hayakufanyika kwa miaka mitano, maada ya muda mfupi tukaambiwa ni kwasababu ya mabwa kukauka wakati huo huo TANESCO wanasema hakuna mgao wa umeme baadae Tanesco wanatangaza mgao wa umeme.
Tuelezwe na Serikali kwasababu linaathiri sana watanzania. Taifa liko kwenye hali ngumu ya ukosefu wa umeme. Nini kinachosababisha hali hii ya katakata na mgao wa umeme?
Naibu Waziri(Nishati): Tanesco haikatikati umeme, hakuna mtu ambae ameajiriwa kwa ajili ya kukata umeme, mifumo ya umeme inarespond kutokana na mazingira iliyokuwa nayo na kikubwa kinachotokea, pale ambapo mitambo yetu inazidiwa na matumizi yenyewe automatically inakata umeme.
Tunachofanya ni kuhakikisha tunaongeza nguvu za mitambo.
Tulitarajia kwenye marekebisho ya mitambo yetu ya kufua gesi ambayo inazalisha sehemu kubwa zaidi, twende tukarekebishe kwenye mitambo ya gesi. Matarajio makubwa ya mgao ambayo tulidhani tutakuwa nayo hatutakuwa nayo.
Sababu tatu zilizopelekea kuahirishwa mgao mkali
- Kwa maelezo ya Rais, amesema mgao usiwe mkali, tukabaini tunaweza kuchepusha gesi baadhi ikapitia mitambo ya TPDC badala ya kampuni ya Paet
- Hali ya mabwawa imeanza kurejea katika hali nzuri
- Umeme ni supply and demand, kile ambacho tulitarajia kitahitajika sicho kinachohitajika, tutahakikisha watu wanaendelea kupata umeme.
Bw. February kasemwa sana kiasi kwamba inabidi apunguze kasi ya kuwakumbatia wenye biashara zao
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]Kwa hiyo sisi tuliokuwa tumejikoki tumeingia hasara! Maana nimenunua mabetri mapya ma3 ya simu na yote nimeyachaji juzi usiku.