Mgawo wa Umeme wasitishwa, utafiti mpya umeona hauhitajiki kama awali

Hamjanunua LUKU katika Majumba yenu hayo ya Urithi mnakimbilia kusema mmekatiwa Umeme wakati sehemu kubwa ya Mbezi Beach tokea Kunakuchwa hadi muda huu Umeme upo. Acheni Uwongo na Uzushi.
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa maelezo hayo basi umeme kukatika huwa ni maslahi ya watu binafsi yanafanyika,, sasa kama rais amesema amesema mgao usiwepo na mmetii inamaana kumbe matengenezo yangefanyika bila kuwa na mgao ila nyie tanesco mlikua na mambo yenu binasfi!!! pumbafu sana hili shirika la hovyo sana.

Mpaka hapa nimejiridhisha 100% kwamba umeme ukikatwa huwa kuna mambo yao binafsi ya kishenz
 
Waziri na ile menejimenti yake yote ya wezi.
 
Huku Kinondoni north. Au north of dsm from mwenge to Mbweni hakuna umeme mpaka wakati huu. Nadhani wahusika wanafurahia sana haya matengenezo.

Kama wananchi hatuoni kama wakubwa hili la umeme linawauma wao wanatumbua ma bruch tu mixer kuku wa kupaka huku sisi tunaumia vibaya sana na mgao.

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
 
Toka nizaliwe cjawahi kuona mgao na matengenezo ya hadi saa sita usiku
 
Pathetic! This amounts to banana republic stuffs.
 
Wewe ni robot? Watu walipolalamika kuhusu umeme wa mgao ulisema ni lazima uwepo ili maintenance ifanyike.
Leo imeletwa taarifa kuwa mama Samia kaingilia Kati, unapongeza na kuona hakuna haja ya mgao.


Ha ha ha mkuu hicho Nyerere alikiita ni kipaji..
 
Tatizo la kuamini watu wachache tu Ndio wenye haki ya kuongoza nchi ...

Mtanzania mmoja ailezee Wizara ya Nishati Na waziri wake kwa sentence moja tu pasipo kupata maumivu ya kichwa ...kama yupo
 
Bw. February kasemwa sana kiasi kwamba inabidi apunguze kasi ya kuwakumbatia wenye biashara zao
Yaani Mgao unapungua baada ya yeye kukalishwa kitako, Kwamba kama asingali kalishwa chini ungelikuwepo mgao. Na naibu nae anasema baada ya kukaa na Rais ndio wakaenda kukaa na wataalamu akimaanisha kwamba tangu swala linaonekana hadi mgao unapangwa hakukuwa na reaction ya kutizama ufanisi wa ku handle angali wataalamu walikuwepo. Bado natazam tu. Pengine ningepewa majibu ya maswali haya labda ningepata picha: Kipi Anafanya Makamb Kalemani Hakufanya au alikuwa hawezi kukifanya? na sina maana kwamba haikuwa na haja au hafai lahasha ila nawasiwasi kwamba kama tunakwangua nyeupe na kuweka nyeupe( tena iliyo fubaa) basi huenda tunapoteza muda katika mambo ambayo hayakustahili muda wetu.
 
jamaa walikuwa wanatuvuta tusogee mbele wapige counter. January master wao wa kupiga
 
So kukata umeme ni hujuma?

Mh Rais akisema wasikate hawakati au mi ndo sielewi?
Research in how many days?.
Bwawa kuongezeka maji hawakujua na hizi mvua?
Kipindi cha Magu mbona haikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…