hahahahaNkukodishie mzee wangu aje amfukuze. haleagi ujinga.
Atamuuliza unafanya nini hapa ndugu, kisha atamuambia kesho nisikukute hapa.
😂😂😂Naipata kero yake vizuri mno, pole tenaYaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]
Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Lima Matuta ya bustani kisha umpe kazi ya kuyamwagilia asubuhi na jioni akimaliza wiki ujue huyo hatoki hapo mpaka Israel mtoa roho atakapopita nae.Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.
Maisha si kusaidiana? hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida, lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.
Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...
Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Hao wape assignment shirikishi mkuuYaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]
Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Endelea kuwachekea tu...na hapo tatizo ni wewe wala sio wao.Yaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]
Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Uzi umegusa pale pale rafiki.Dah[emoji23]
Ngoja ninyamaze maana ninayopitia hizi siku 3 naona kama mwezi.
Kuna wageni hata hawajiongezi jamani