Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida, lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Mkuu, hii story yako ingekuwa balanced kama tungeweza kusikia na upande wa huyo shemeji yako wa kiume (Cross Examination)

Mkuu, watu humu JF wanaweza kumuona huyo ndugu wa mkeo ni m-baya kumbe aliwahi kukukopesha pesa hapo zamani ila hukumlipa au aliwahi kukuinua kimaisha ila sasa hana kitu na badala ya kulipa fadhila unaanza kumuona kama mzigo.
 
nitaendelea kusema kila siku mpaka kieleweke kwa watu wengi kuwa shida yetu kubwa watanzania wengi ni kwamba hatujui tunataka nini na kwa wakati gani.
  1. ukijua unataka nini
  2. utajua bajeti yake
  3. na utajua utafadhiri vipi mahitaji yako ukiangalia vyanzo vyako vya kipato na utaweza kufanya baadhi ya maamuzi bila woga
  4. kama mlipanga shemeji tena wa kiume akae kwenu sawa lakini kijana yeyote anayezidi miaka 27 anatakiwa asaidiwe akiwa kwa wazazi wake na si vinginevyo akija kwa shemeji sk 6 anaondoka. wakike anaweza kukaa kwa kuwa anao mtaji anaouweza kuuwekeza kwenye familia ikiwa ni pamoja na kuboresha mazingira na kumsaidia kazi dada yake ikiwemo kuwasaidia watoto maswala ya shule hivyo huyu hana shida sana anavumilika kama atakuwa na adabu.
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida, lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
usikute ni yule dogo anajiita kidukulilo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kuja kunisema huku siyo poa yaani,mimi nahitaji pocket money yangu.Halafu pia leo nina hamu ya dona kwa kitimoto![emoji1][emoji1][emoji1]
Ni yupi halisi sasa?maana mmekua wengi
 
😂😂😂 dah! Kuishi kwa shemeji ni chai sana. Hasa kama shem ni mume wa dada😂😂.

Bora awe mke wa bro ila kuishi kwa mume wa dada kwa upande wangu siwezi.
 
Huyu ndute si bure

Kingsmann

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Mkuu inasikitisha uhuru wa kukaa sebureni umepotea.....wewe unataka angalia taarifa ya habari yeye ameweka movie.....

ni 44 lakini anapenda sana movie haganduki hapo hadi saa 6 unamuacha anamalizia......imefika kipindi napambana tu wote tule tulale, ila amekata tamaa hataki hata kibarua cha 3000 kwa siku.
 
Acha tu
Naugulia maumivu..yaani asbh niwahangaikie..mchana nikimaliza mihangaiko yangu nawakuta wanasubiri nitoe vyombo mezani vyombo walivyonywea chai niliyowawekea mwe and,nikaoshe,niwapikie,wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Pole sana, nafikiri kipindi cha mpito tu.
 
eti anaomba poketi money hahaha,.... mimi yupo hapa toka mwezi wa 6 mwaka jana hataki kazi yoyote, ukiondoka unamuacha na remote ukirudi na remote umeme ukikata anaenda kulewa.....sahizi amejifunza angalia cartoon ukimkuta na mtoto burudani tu

na ni mwanaume mkubwa 44years, alikuwa huko mtwara amerudi ndio yupo hapa.
Endelea kuendekeza upuuzi, unafurahia ujinga kabisa
 
Hafu mkikaa hvo na ugomvi hutokea tena wavivu wakushirikiana huona wanaonewa Sana
Sema hawana muda mrefu sana ndiyo maana nimeamua kuvumilia.
Ila ni wageni wa ajabu kuwahi kukaa nao aisee[emoji23][emoji119]
 
Ku
Kuna watu Ni wavivu tu in nature
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nikienda kwa watu hata nijisikie uvivu vipi lazima nijikaze nifanye kazi.
Dah wamepata pa kupumzikia...nyumba ina watoto 4,nahangaika na watoto wadogo, nahangaika na watu wazima pia[emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida, lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Mtu yeyote aliyepata changamoto ya maisha anapaswa kurudi kwao , si kuhifadhiwa , endeleeni kuvuna mlichopanda
 
Ingekua kwangu ningemuoa na yeye ili a demand huduma vizuri.
 
Back
Top Bottom