Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nikienda kwa watu hata nijisikie uvivu vipi lazima nijikaze nifanye kazi.
Dah wamepata pa kupumzikia...nyumba ina watoto 4,nahangaika na watoto wadogo, nahangaika na watu wazima pia[emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hapo unalala hoi km ulikuwa shambani vile kumbe unatumikia mijitu mivivu
 
Lima Matuta ya bustani kisha umpe kazi ya kuyamwagilia asubuhi na jioni akimaliza wiki ujue huyo hatoki hapo mpaka Israel mtoa roho atakapopita nae.
Sijamwelewa jamaa hata anamshindwa vipi huyo panya.
Unaenda nae bar unamuitishia za kutosha,then unamuuliza malengo yake huku akila mbata wakati unasubiri majibu, kadri anavyochelewa unamzibua, ikiwezekana chukua wahuni hapo nje wanakusaidia kumzibua vibao hata mtaro ikiwezekana.
Akiendelea kubaki basi tena itakua mpk yesu arudi.
 
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nikienda kwa watu hata nijisikie uvivu vipi lazima nijikaze nifanye kazi.
Dah wamepata pa kupumzikia...nyumba ina watoto 4,nahangaika na watoto wadogo, nahangaika na watu wazima pia[emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Malipo ni nini? Walau kungekua na tuzo badae.. [emoji16]
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida, lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Hilo ni zigo, liondoe hapo kwako. Mwite mbele ya dada yake halafu umwambie atimue mapema iwezekanavyo.
Nafikiri case za namna hii ni nyingi sana bongo.
 
Acha tu
Naugulia maumivu..yaani asbh niwahangaikie..mchana nikimaliza mihangaiko yangu nawakuta wanasubiri nitoe vyombo mezani vyombo walivyonywea chai niliyowawekea mwenyewe,nikaoshe,niwapikie,wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Na unawachekea tu, kuna watu wapole aisee dunia hii!
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
HAJITAMBUI
 
Bora muendelee kumvumilia maana akiondoka na manunguniko si vizuri, kwa vile mmeamua kumpa hifadhi basi jitahidini muweze kumuwezesha mapema iwezekanavyo ili aende kujitegemea.
 
Da jamaa anaringia Kooma ya dada yake.Mwambie aache hizo tabia lasivyo utamfanya mke mdogo huku dada yake akiwa mke mkubwa
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Anawaharibieni familia Tu na kuna siku atakuja kubaka na kukimbia

Hizi sio zama za kulea ndugu hasa wa kiume
 
Poleni, kama ni mlevi hataweza kusimama hata mkimsimamisha na mlingoti, inaonekana kuna mahali mkeo ameharibu yeye ndo anatakiwa amwambie ndugu yake UKWELI. Nakushauri tafuta ndugu yako ambaye hazimtoshi aje hapo akae hata siku tatu au week amsome kidogo wakanywe nae alafu amtafute uchokozi amchambe haswaaa,(Unaishi hapa wewe ni mke mwenza wa dadaako,? Haya ni baadhi ya maneno ya kero) na wewe kama baba mwenye nyumba inatakiwa wakati wa ugomvi usiwepo, utakapopewa mashtaka ushaandaa nauli unafukuza wote wawili muda huohuo unashikilia msimamo, najua waifu atataka kutetea muulize swali moja kama anataka ndoa au ndugu ili uwaachie mji usepe. Akiondoka usipokee ndugu tena, msaidie ndugu akiwa huko aliko, akija kusalimia kuwe na ulazima kwanza siku hizi kuna CORONA.
Siku zote ukiwa na mshipa wa aibu unao pitiliza hio ni shida. Mimi nikikuvumilia nikichoka nakukalisha mezani nakuchana live tunamalizana.🌌
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Chunga Sana huyo mwenye ndugu (mkeo) atakugeuka pasipo kutarajia. Atadai unanyanyasa ndugu zake.
 
Hapo humsaidii unampa ulemavu wa akili ya kujitegemea.
 
Back
Top Bottom