Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

Na unawachekea tu, kuna watu wapole aisee dunia hii!
Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Vitu vingine siyo lazima mtu akwambie ..ni vitu vya kujiongeza tu!
Mtu anakuona kabisa unaosha vyombo,anakutazama kama kideo..kuna haja ya kumwambia??
 
Waache hivyo hivyo wasioge. Yaani wapite kama huwaoni vile. Fanya mengine ila ambalo linahusu mtu binafsi usifanye.
Wakiuliza maji waelekeze yalipo..tena kwa upole.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Jana walivyoanza kujisemesha nilichemsha maji nikawapa

Dada anasema wewe ungewaacha tu!
Kwanza wakaanza kusema nguo hatujabadili,yaani walikuja na nguo za mwilini tu!.
Dada anasema siwapi hata moja,kama mchana hawawezi kuvaa kitenge na kufua basi wabaki hivyohivyo [emoji1787]
 
Jana walivyoanza kujisemesha nilichemsha maji nikawapa

Dada anasema wewe ungewaacha tu!
Kwanza wakaanza kusema nguo hatujabadili,yaani walikuja na nguo za mwilini tu!.
Dada anasema siwapi hata moja,kama mchana hawawezi kuvaa kitenge na kufua basi wabaki hivyohivyo [emoji1787]
Ha haaa kwahiyo wanataka kupewa nguo? Halafu kumbe ni wanawake [emoji849]. Jamani loh...naomba nikutembelee kwako uwe unanihudumia

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ongea na dada yake mjue mnafanyaje...........kama amehifadhiwa anawaza kunywa na Pombe na kuchagua chakula hata mkimpa mtaji itakuwa sawa na bure tu...........ila mku fanya maamuzi ya kiume hakuna atakayekulaumu hata mkeo kachoka sema anaogopa kukwambia cos ni ndugu yake, na lazima kutakuwa na vikao usipokuwepo
 
Acha tu
Nadhani malipo ni ule uchovu maana nalala kama maiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena usiku Sasa wanapiga kelele hatari,TV hadi saa7 wapo kuangalia[emoji119][emoji119][emoji119]
Kwa style hii nadhani hawatamani hata kuondoka maana si kwa raha hizo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanzo nilijua ni ugeni
Kumbe ndio wako hivyo aisee...wamegeuza nyumba hotel,[emoji23][emoji23][emoji119]
Wanalala na kuamka tu!
Halafu Jana wamenizoea,wanazunguka na mimi tu!naenda kufua wanakuja wanakaa wananiangalia,
Napika wanakaa wananiangalia,
Nadeki ndani nao wanakuja kukaa aaarghh[emoji21]hii inanikera sana, unaangalia kuhangaika kuwaambia inueni basi miguu nideki[emoji1787]
Hapo nimesota weee..nawapikia chai wanakunywa,wanaacha meza chafu na vyombo hivyohivyo..hata kutoa wapeleke jikoni hawawezi
Halafu wamekuja kwa shida zao[emoji119][emoji119][emoji119]
Anne si uwaambie?..bana katakata nyanya hapo au mi nasuuza wewe utaanika. kiroho safi tu
 
Lima Matuta ya bustani kisha umpe kazi ya kuyamwagilia asubuhi na jioni akimaliza wiki ujue huyo hatoki hapo mpaka Israel mtoa roho atakapopita nae.
Akimaliza wiki anaongezea na ng'ombe wawili wa maziwa. Unampatia routine ya kukatia nyasi na kukamua maziwa!
 
Yaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]

Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Weeeeh!! Mgeni kwangu siku ya kwanza tena haswa mtoto wa kike. Siku ya pili usipojiongeza nakuongeza. Kulea ujinga ndio hawa wanakuja kututia aibu uzeeni hata vyombo kuosha hawawezi.
Simamia nafasi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Timua huyo
 
Acha tu
Nakuwa hoi aiseee...tena wao nawatumikia Sana kuliko hata watoto...
Msosi wanakula wa uhakika,ukipika kidogo hauwatoshi.
Bado wakusumbue kwamba tutafutie CD nzuri za nyimbo[emoji1787]usiku huo...mimi niko busy kuandaa nguo za watoto wa shule wao wanaanza kukuita ita na wakati wamekaa tangu asbh na wanajua nyumba haina house girl na kila mtu yuko busy.

Kabila gani hao wageni, sorry to ask [emoji23][emoji23]
 
Kwani mmeshindwaje kabisa kulimaliza humo ndani?

Akiwa ndugu wa mume, mwanamme asimame na kumueleza ukweli wa maisha na akiwa ndugu wa mke basi mwanamke asimamie show.

Wageni wa familia ni wapitaji tuu hawawezi kuwa na control ambayo nyie wenyewe hamjairuhusu
Maoni mazuri sana lakini hayana likes nyingi
 
Yaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]

Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Anza kuishi kama hostel.
Ukirudi umeshiba ndiii na unachokonoa meno na toothpick huku unashushia na maji kimya.
 
Back
Top Bottom