heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Angekua mwanamke ningekuambia tafuna ila ni boy mmh kazi unayo
Aisee shemeji kumbe upo Jf,yaani kunisaidia tu kidogo umeanza kuniona mzigo..au kisa nilisema siwezi kula ugali na kabichi?..na naenda kumwambia dada.
Mnachezea maisha nyie kutimua unaona ninieti anaomba poketi money hahaha,.... mimi yupo hapa toka mwezi wa 6 mwaka jana hataki kazi yoyote, ukiondoka unamuacha na remote ukirudi na remote umeme ukikata anaenda kulewa.....sahizi amejifunza angalia cartoon ukimkuta na mtoto burudani tu
na ni mwanaume mkubwa 44years, alikuwa huko mtwara amerudi ndio yupo hapa.
Acha tu
Naugulia maumivu..yaani asbh niwahangaikie..mchana nikimaliza mihangaiko yangu nawakuta wanasubiri nitoe vyombo mezani vyombo walivyonywea chai niliyowawekea mwenyewe,nikaoshe,niwapikie,wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu upo nkuhungu maana maeneo hayo Kuna kabila Fulani hawaoni tabu kujazana kwa shemeji yao na kijitawala kabisa.Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.
Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.
Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...
Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Na ndio sheriaMzee wangu alikua ana sema "mgeni siku ya kwanza, siku ya pili mpe jembe akalime "
Anauoga wa kupitilizaWabongo wengi tunaogopa kuonekana wabaya..[emoji1787][emoji1787]
Mmoja kijana Kama mimi,Kama mkubwa Sana basi ana 30.Ukiacha kuwapelekea maji ya kuoga nini kitatokea? Maji si yanajulikana yalipo? Au unaowazungumzia ni wazee?
Waache hivyo hivyo wasioge. Yaani wapite kama huwaoni vile. Fanya mengine ila ambalo linahusu mtu binafsi usifanye.Mmoja kijana Kama mimi,Kama mkubwa Sana basi ana 30.
Mwingine kwenye 35-40
Juzi eti wamelala bila kuoga,
Maji yamekatika bafuni eti wameshindwa kufwata maji jikoni wakati yamejaa madiaba Kama yote.
Sasa usiku tumefanya mikazi,tumechoka balaa..wakawa wanamwambia sister hatujaoga [emoji1787], sisy alikuwa anaminya simu akainuka akaenda zake kulala [emoji23]
Huku kwetu nyanda za juu kusini kuna baridi sana...jagi la kuchemshia maji lipo na wameliona na wanaona tunavyochemsha,Moto jikoni upo..ila wanataka nayo tuwachemshie tuwawekee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Huu upole mnautoaga wapi? Siku hizi bangi zangu zinavyonipeleka puta mbona wangeniachia laana
Mwanzo nilijua ni ugeniAs If wapo hotel...... Kwangu hayo hayawezkani ! Nakupangia kaz kama wewe huwez jtuma.... Failure to do so uende tu[emoji23]
Acha tuHapo unalala hoi km ulikuwa shambani vile kumbe unatumikia mijitu mivivu
Acha tuMalipo ni nini? Walau kungekua na tuzo badae.. [emoji16]
Walilala bila kuoga eti wameshindwa kuchukua maji na kuchemsha.Huwaambii. Hufanyi kitu unajikausha tu na wewe.
Ubaya ndugu ukiwaendekeza wanaambiana yani ukienda kwa fulani utalala tu anafanya kila kitu hadi raha..wanakuja tena na wengine kuhakikisha. teh
AiseeeNimeoa lastborn hivyo hizo kero sijakutana nazo maana wote twaishi mkoa mmoja na wilaya moja hivyo muda wa mtu kwenda kulala kwa mtu haupo
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja tu nikuchekeMwanzo nilijua ni ugeni
Kumbe ndio wako hivyo aisee...wamegeuza nyumba hotel,[emoji23][emoji23][emoji119]
Wanalala na kuamka tu!
Halafu Jana wamenizoea,wanazunguka na mimi tu!naenda kufua wanakuja wanakaa wananiangalia,
Napika wanakaa wananiangalia,
Nadeki ndani nao wanakuja kukaa aaarghh[emoji21]hii inanikera sana, unaangalia kuhangaika kuwaambia inueni basi miguu nideki[emoji1787]
Hapo nimesota weee..nawapikia chai wanakunywa,wanaacha meza chafu na vyombo hivyohivyo..hata kutoa wapeleke jikoni hawawezi
Halafu wamekuja kwa shida zao[emoji119][emoji119][emoji119]