The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,618
- 11,380
sawaMkuu nimetoa mfano tu.
But kuishi kwa mtu ni kero lakini kuna muda hauwezi epuka kuishi nao.🏃♂️
sawaMkuu nimetoa mfano tu.
But kuishi kwa mtu ni kero lakini kuna muda hauwezi epuka kuishi nao.🏃♂️
Pole Mimi hujifanyia tu Mambo yangu mwenyewe, ila kuna watu hawanaga soni kabisa yaniSema hawana muda mrefu sana ndiyo maana nimeamua kuvumilia.
Ila ni wageni wa ajabu kuwahi kukaa nao aisee[emoji23][emoji119]
Naona wageni mna takeplaceHuyo ni malaika mtendee apendavyo, akiondoka na kwa manung'uniko, mbele yenu itakuwa chungu kuliko sasa. Mpenda boga ufurahia ua lake.
Kwel pia kam ana gari kila siku kuosha kufagia uwanja na kukata maua.Lima Matuta ya bustani kisha umpe kazi ya kuyamwagilia asubuhi na jioni akimaliza wiki ujue huyo hatoki hapo mpaka Israel mtoa roho atakapopita nae.
Ukamchek na afya ya akilieti anaomba poketi money hahaha,.... mimi yupo hapa toka mwezi wa 6 mwaka jana hataki kazi yoyote, ukiondoka unamuacha na remote ukirudi na remote umeme ukikata anaenda kulewa.....sahizi amejifunza angalia cartoon ukimkuta na mtoto burudani tu
na ni mwanaume mkubwa 44years, alikuwa huko mtwara amerudi ndio yupo hapa.
Mama D ikiwa ni ishu ya uzazi huyu mama akae kwa muda gani?Mama kukaa kwa mkwewe miezi2 bila sababu ya msingi, sio ugonjwa wala matatizo eti anakunwa bia[emoji848][emoji848]
Unamruhusu kwa upendo kabisa na nauli.... ambebe mama yake warudi kwao nyumbani akakae na mama yake hadi hamu iwaishe ndio arudi nyumbani kwaķe
Acha tu
Nakuwa hoi aiseee...tena wao nawatumikia Sana kuliko hata watoto...
Msosi wanakula wa uhakika,ukipika kidogo hauwatoshi.
Bado wakusumbue kwamba tutafutie CD nzuri za nyimbo[emoji1787]usiku huo...mimi niko busy kuandaa nguo za watoto wa shule wao wanaanza kukuita ita na wakati wamekaa tangu asbh na wanajua nyumba haina house girl na kila mtu yuko busy.
[/QUOTE
😂😂😂😂 Inakera kweli km nakuona unavyoshinda umenuna
Mzee wako mwenyewe ndio huyo kwenye profile yako!!?Nikukodishie mzee wangu aje amfukuze, haleagi ujinga.
Atamuuliza unafanya nini hapa ndugu, kisha atamuambia kesho nisikukute hapa.
Mama D ikiwa ni ishu ya uzazi huyu mama akae kwa muda gani?
Mnamruhusuje mtu kunywa pombe wakati hata maisha hana? Usimfukuze. Mzuie kunywa pombe kwanza halafu hakikisha angalau kila wiki anaripoti kwa watumishi wa Mungu. Kama utamfukuza bila kuwa umemzuia kunywa pombe, wewe ndiyo utakuwa umefanya makosa isipokuwa kama utamzuia kunywa pombe halafu baada ya hapo mkashindwana na ukamfukuza, kosa litakuwa ni lake yeyeSijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.
Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.
Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...
Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Kwa matibabu sidhani! Mgonjwa gani anagida pombe Kama komba.Kaja hapo kwa ajili ya Kujipanga au kwa ajili ya Matibabu???? Kama ni kujipanga mpe mtaji asepe..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana undugu kaziKwa matibabu sidhani! Mgonjwa gani anagida pombe Kama komba.
Halafu wananisemesha hatari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi najifanyia tu..sema nachoka sanaPole Mimi hujifanyia tu Mambo yangu mwenyewe, ila kuna watu hawanaga soni kabisa yani
Halafu naweza nikaondoka nikawaacha hivihivi sema huruma inanishika nikirudi naanza wapikiaAnza kuishi kama hostel.
Ukirudi umeshiba ndiii na unachokonoa meno na toothpick huku unashushia na maji kimya.
Na hawa watu hawanaga mishipa ya aibuHata Mimi najifanyia tu..sema nachoka sana
Uwe makini sana asijebaka mtotoeti anaomba poketi money hahaha,.... mimi yupo hapa toka mwezi wa 6 mwaka jana hataki kazi yoyote, ukiondoka unamuacha na remote ukirudi na remote umeme ukikata anaenda kulewa.....sahizi amejifunza angalia cartoon ukimkuta na mtoto burudani tu
na ni mwanaume mkubwa 44years, alikuwa huko mtwara amerudi ndio yupo hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabila gani hao wageni, sorry to ask [emoji23][emoji23]
Eti usipojiongeza nakuongeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Weeeeh!! Mgeni kwangu siku ya kwanza tena haswa mtoto wa kike. Siku ya pili usipojiongeza nakuongeza. Kulea ujinga ndio hawa wanakuja kututia aibu uzeeni hata vyombo kuosha hawawezi.
Simamia nafasi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu hata si vya kuambiwa rafiki yangu [emoji1787]Anne si uwaambie?..bana katakata nyanya hapo au mi nasuuza wewe utaanika. kiroho safi tu