Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

Walale tu bila kuoga hadi waote ukoko asee..tabia mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyumba itanuka,mimi siwezi vumilia kukaa na mtu mchafu..Mara Mia nimuhangaikie aoge. .harufu mbaya siwezi vumilia
 
Fukuza akapate akili
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
 
Tukujengee kasanamu kako [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
A wapi,najua hawatamaliza wiki 2..
Wakizidi hapo aisee mbona tutaanza onyeshana makali[emoji1787]maana hata mimi naweza vizuri sana kutega kazi
 
Acha kulea ujinga

Kama chakula hakimdhuru atakula kilichopo

Akitaka pocket money akafanye kazi

Mradi anakula na antenna hospitali akiumwa inatosha.
 
Yaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]

Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Kinachokufanya uwatengee mpaka maji ni nini?????
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Hio sio kusadiana ni kudekezana, na huwezi saidia mtu na hayuko tayari kusaidiwa. kamwe usiweke mtu nyumbani kwako kwa ajili ya kusaidiwa, lazima aanze kufanya kitu, aanze kutafuta kitu, na mpangishie mpe muda wa miezi kama sita, na mpe ratiba, baada ya hio miezi awe ameweza kulipa chumba mwenye na kijilisha, kama ni msaada utakua ni wa zarura
 
Acha tu
Naugulia maumivu..yaani asbh niwahangaikie..mchana nikimaliza mihangaiko yangu nawakuta wanasubiri nitoe vyombo mezani vyombo walivyonywea chai niliyowawekea mwenyewe,nikaoshe,niwapikie,wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Dada unalea upuuzi

Watching live

Na acha kuwapikia lunch. Wapike wenyewe

Utafute uwapikie

Hawalijui jiko????
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Mkuu una moyo mi hata nisinge kuja humu kuomba ushauri
 
Ukiendelea kuzubaa utaolewa na wewe...mm watu wapuuzi Kama hao nawatafutia uelekeo mapema...ipo siku atakwambia umpelekee maji ya kuoga huyo....
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Pole,shemeji huyo, mtafutie chumba mpe godoro na msosi wakuanzia na kapesa za kuanzia maisha kidogo,kisha muunganishe na watu wanao fanya vibarua kama vya ujenzi na vingine,yakimshinda atarudi kuomba nauli ya kurudi bushi mwenyewe.
 
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? Hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Aisee pole sana, kama mume na Mke mnatakiwa kauli yenu iwe moja kuhusu hawa binadamu wanaitwa "ndugu" otherwise watawavuruga vibaya mno.... na wakishaharibu wanaondoka mikia juu kwenda kwingine.

Binafsi tangu siku ya kwanza naingia ndoani msimamo wangu ni mmoja, sipokei wala kuvumilia stress ya kuletewa na ndugu (yangu au ukweni) in the name of "ukarimu" wa kuumizana. Mgeni akija kwangu lazima afuate utaratibu wetu na ataenjoy ukarimu halisi na kama hawezi aondoke kwa amani ya bwana.. kwa ufupi mimi na-deal na ndugu zangu perpendiculary yaani hakuna mtu atani-control kwenye family yangu au eti avuke mipaka kupeleka maujinga yake kwa Mr hell no..

Mwambie mkeo aongee kwa herufi kubwa na huyo ndugu yake kiazi ili akae kwa kutulia na kama anaona maisha rahisi sana basi aende zake, kwanza sioni sababu kwanini anakaa hapo kwenu!!!. Kwani hawezi saidika akiwa huko alikotoka? karaha zote hizo tena na kulewa juu.... hiiiiiiiiiiiiiiii(in jiwez voice) huyo angekuwa ndugu yangu hata taste ya beer asingeipata. Ndugu bila msimamo mtatawaliwa hadi na nzi........ Ndugu zetu tuwapende na kuwasaidia ila lazima waijue mipaka yao
 
Acha tu
Naugulia maumivu..yaani asbh niwahangaikie..mchana nikimaliza mihangaiko yangu nawakuta wanasubiri nitoe vyombo mezani vyombo walivyonywea chai niliyowawekea mwenyewe,nikaoshe,niwapikie,wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Seriously!!!! hivi kumbe duniani tunatofautiana kiasi hiki..... Hii si ndo definition halisi ya neno "punda" nashindwa kukupa pole maana akili yangu inaniambia umechangia kwa asilimia kubwa sana hizo tabia duh
 
Back
Top Bottom