Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa miguu yake mwenyewe.

Maisha si kusaidiana? hata vitabu vya Mungu vimesisitiza kusaidiana wakati wa shida, lakini kinachoendelea sasa nyumbani ni kwamba mgeni wetu amekuwa kero, amekuwa mzigo na natamani aondoke hata leo kabla hata hajasimama kwa miguu yake mwenyewe.

Tumejitahidi kumpa hifadhi na mahitaji yote muhimu, pazuri pa kulala, chakula cha uhakika, matibabu na mahitaji yote ya lazima. Anapiga kinywaji kama hana akili nzuri almost kila siku, analalamika hata baadhi ya vyakula havipendi hata kama nyumba nzima ndicho kinacholiwa kwa watu wote, ana demand apewe aina fulani ya milo, anataka 'pocket money', yaani ...

Kama umeshawahi kuwa na mgeni kama huyu kwako hebu tupe uzoefu wako!
Sikia mpanue matako
 
Eti anaomba poketi money hahaha,.... mimi yupo hapa toka mwezi wa 6 mwaka jana hataki kazi yoyote, ukiondoka unamuacha na remote ukirudi na remote umeme ukikata anaenda kulewa.....sahizi amejifunza angalia cartoon ukimkuta na mtoto burudani tu

Na ni mwanaume mkubwa 44years, alikuwa huko Mtwara amerudi ndio yupo hapa.
 
eti anaomba poketi money hahaha,.... mimi yupo hapa toka mwezi wa 6 mwaka jana hataki kazi yoyote, ukiondoka unamuacha na remote ukirudi na remote umeme ukikata anaenda kulewa.....sahizi amejifunza angalia cartoon ukimkuta na mtoto burudani tu

na ni mwanaume mkubwa 44years, alikuwa huko mtwara amerudi ndio yupo hapa.
Huyu ndute si bure

Kingsmann

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Poleni, kama ni mlevi hataweza kusimama hata mkimsimamisha na mlingoti, inaonekana kuna mahali mkeo ameharibu yeye ndo anatakiwa amwambie ndugu yake UKWELI. Nakushauri tafuta ndugu yako ambaye hazimtoshi aje hapo akae hata siku tatu au week amsome kidogo wakanywe nae alafu amtafute uchokozi amchambe haswaaa,(Unaishi hapa wewe ni mke mwenza wa dadaako,? Haya ni baadhi ya maneno ya kero) na wewe kama baba mwenye nyumba inatakiwa wakati wa ugomvi usiwepo, utakapopewa mashtaka ushaandaa nauli unafukuza wote wawili muda huohuo unashikilia msimamo, najua waifu atataka kutetea muulize swali moja kama anataka ndoa au ndugu ili uwaachie mji usepe. Akiondoka usipokee ndugu tena, msaidie ndugu akiwa huko aliko, akija kusalimia kuwe na ulazima kwanza siku hizi kuna CORONA.
Huu uzoef w levo y Sgr
 
Hao wape assignment shirikishi mkuu
Endelea kuwachekea tuu...na hapo tatizo ni wewe wala sio wao.
Mwanangu wa miaka 9 darasa la 4 anaamka 12 kudeki choo na bafu kabla hajajiandaa kwenda shule af wewe unakaa kuwachea mi mama mizima hiyo [emoji52]
Siku ya kwanza nikajua ni ugeni
Lol! kumbe ndivyo walivyo. nipo kwenye kazi wanalalamika maji ya kuoga ya baridi mno.. jagi wanaliona, nayo niwachemshie niwatengee!!! yupo mke, mume na dada yao
Chaaa!!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Uzi umegusa pale pale rafiki.
Acha tu
Naugulia maumivu..yaani asbh niwahangaikie..mchana nikimaliza mihangaiko yangu nawakuta wanasubiri nitoe vyombo mezani vyombo walivyonywea chai niliyowawekea mwenyewe, nikaoshe, niwapikie, wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
msubirini ziishe mumueleze.

ingawa ukiwaambia huwa wana tabia ya kwenda kukulewea.sasa kama kuna mwanamume hapo kwenu,muelezeni kwa ustaarabu,akienda kuwanywea tandikeni fimbo za kutosha,na mumpasulie yai.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa mtoa uzi sio mwanaume?
 
Wewe ndio umeulea huo ujinga, endelea kumuendekeza ipo siku utarudi hapa kuleta murejesho.
 
Aiseeeeee we si ajabu hata mkeo anakuendesha...

Hivi ni nani atathubutu kuingia kwenye nyumba ya mwanaume mwenzake hlf apange sheria?
Kama sio kaona nyumba haina mwanaume kwahiyo anaona act mwanaume sasa...

Nyumba yako mzee haina sheria kwahiyo acha atunge sheria ili nyumba iweze kwenda.

Nadhani mimi ningemuuliza mbele ya watu wote hadi watoto hapo hapo wewe unaondoka lini?

Maana kama anajitoa akili na hajui maana ya kusitiriwa basi lazima hajui au basi akumbushwe who is provider?Nani ana mamlaka!
 
Yaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]

Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Wewe ndio unalea huo ujinga.
 
eti anaomba poketi money hahaha,.... mimi yupo hapa toka mwezi wa 6 mwaka jana hataki kazi yoyote, ukiondoka unamuacha na remote ukirudi na remote umeme ukikata anaenda kulewa.....sahizi amejifunza angalia cartoon ukimkuta na mtoto burudani tu

na ni mwanaume mkubwa 44years, alikuwa huko mtwara amerudi ndio yupo hapa.
Huyo atawaharibu wanao
 
Yaani acha tu!
Tena watoto wa kike kama mimi aisee,Hadi chombo walivyolia chakula nawatolea..maji nitenge!jamani hata hawajiongezi japo wanisaidie hata kufagia uwanja.
Nahangaika na makazi yote,wao wanasubiri niwapikie,wale,waendelee kutazama tv[emoji26]

Nachoka Kama gari bovu[emoji1787]
Hafu mkikaa hvo na ugomvi hutokea tena wavivu wakushirikiana huona wanaonewa Sana
 
Hajasema ni malaika, amesema ni ndugu wa mkewe!

Huyu nadhani ni shemeji yake sasa inamuwia taabu kumtimua mamsab atakasirika!!! Hili suala muachie mkeo azungumze na kaka yeke ili arudi kijijini akajipange, wewe usihusike kuepusha shari!!
 
Back
Top Bottom