Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi no kweli unaamini haya mambo au unatania tu mkuu??Mkristo kumwona Myahudi ndugu yake ni sahihi. Na hata mimi nitashangaa kumwona Muisrael ambaye ni Mkristo.
Iko hivi, Myahudi amefanywa makusudi na Mungu/Yesu asiamini Ukristo, ili injili iende kwa mataifa. Baada ya wakati wa injili kwa mataifa utapoisha (karibu na Rapture) bas Waisrael watafunguliwa macho na watamwamini Yesu Kristo.
Hakuna makosa kwa Mkristo kuamini Myahudi ni ndugu yake.
WafilstMi nikuulize wafilist walikua ni watu gani?
Ni kweli, kuna waarabu wakristo kama ambavyo kuna wahindi, waafrika, warusi au wakorea wakristoKwenye hilo jeshi la israel kuna waislam,halafu hao wapalestina kuna wakristo kibao hata makanisa yenu ya huko jerusalem ni wakristo wapalestina ndio wanayoyasimamia,sio kila mwarabu ni muislam bwashehe
View attachment 1783190
Mkristo mpuuzi kama wewe ndo unaesaport hao washenzi wa kirusi na kijerumani..hakuna israel pale..wakristo wanapaswaa kujua hilo..ni ujinga kushabikia watu waliowabaguzi wa rangi..Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati.
Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel.
Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza kupenya yalileta madhara na inasadikiwa wa Israel 6 wamekufa mpaka sasa
Lakini pia usiku wa juma nne na jumatano Israeli waliiijibu Palestine kwa kurusha makombora mia moja ambayo yaliharibu majengo kadhaa ikiwemo makao makuu ya hamas na mitambo ya mawasiliano pamoja na kuua watu 56.
Huu mgogoro unahusisha dini kwa asilimia mia zote. Waislam wakiwa wanisapot Palestine na sisi wakristo tupo upande wa Israeli.
Waislam wa hapa kwetu wanakasirishwa sana na kitendo cha sisi kuisapot Israeli ilihali sisi hatuwalaum wao kuisapot Palestine
Hii inanifundisha kwamba biblia ni kitabu cha kweli maana haya yameandikwa humo.
Kuna story nyingi kuihusu Israel na uhalali wa kua pale lakini hadith halisi inaanzia kwa Yusufu kwenda Misri inahitimishwa na wana Israel kutoka misri kuludi kwao. Hizo zingine zimetungwa kwa manufaa ya watu fulani.
Huu ugomvi upo sio kwa sababu ya ardhi hapana. Huu ugomvi upo kwa sababu waarab wameamua kua adui na mungu.
Ingawa wao husema Israeli imelaaniwa.
Vipi wao ambao hamjalaaniwa na mnapigwa vita kila siku mmeahindwa kumuomba allah awape wepesi kabisaa?
Biblia inaniambia ataefanya vita na Israel amegusa mboni ya jicho la mungu.
Kataa kua adui wa mungu.
Thnx kwa kuongea ukweli, ingawaje watakupinga, mm Muislam na Muislam yoyote akienda against na mafundisho ya dini yake yaani kuchukia alieko nje ya dini ya Kiislam huwa nampa zauso na kumuona kuwa anaupaka matope Uislam coz sio mafundisho ya dini bali ni mihemuko yake au chuki zake, Unajua bro kuna watu kama sisi tunaposimama kwenye haki tutalengwa mawe au kuitwa wasaliti, kuna Wayahudi huko Uengereza na Marekani wanaandamana kuwaunga mkono Wapalestina na wanajua kinachofanyika sio sahihi, huko Lebanon ambako kuna wakiristo wengi katika miongoni mwa nchi za kiarabu wanapinga unyanyasaji unaofanywa katika Ardhi ya Jerusalem, pia Syria na Palestina wenyewe wakiristo wanapingaMkristo mpuuzi kama wewe ndo unaesaport hao washenzi wa kirusi na kijerumani..hakuna israel pale..wakristo wanapaswaa kujua hilo..ni ujinga kushabikia watu waliowabaguzi wa rangi..
Wewe na weusi wako ukifika kuleee unarushiwa ndizi..pimbi kabisaa waleee..hawana mana..waisrael wa kwel hawapo paleee...kama unataka kuamn waulize wale wasamaria wanaokaa miliman..
Yaani kua tu muislam hapo umeshafeli, huwez kuzungumzia aman ukiwa kwenye dini ya kigaidi ata huyo jairos ni mpuuz km weweThnx kwa kuongea ukweli, ingawaje watakupinga, mm Muislam na Muislam yoyote akienda against na mafundisho ya dini yake yaani kuchukia alieko nje ya dini ya Kiislam huwa nampa zauso na kumuona kuwa anaupaka matope Uislam coz sio mafundisho ya dini bali ni mihemuko yake au chuki zake, Unajua bro kuna watu kama sisi tunaposimama kwenye haki tutalengwa mawe au kuitwa wasaliti, kuna Wayahudi huko Uengereza na Marekani wanaandamana kuwaunga mkono Wapalestina na wanajua kinachofanyika sio sahihi, huko Lebanon ambako kuna wakiristo wengi katika miongoni mwa nchi za kiarabu wanapinga unyanyasaji unaofanywa katika Ardhi ya Jerusalem, pia Syria na Palestina wenyewe wakiristo wanapinga
So ni mihemuko ya baadhi ya watu
Tukisema mama yako ni mpuuzi kwa kukuzaa ww tutakosea?Yaani kua tu muislam hapo umeshafeli, huwez kuzungumzia aman ukiwa kwenye dini ya kigaidi ata huyo jairos ni mpuuz km wewe
Palestina ilivamia pale huo ndo ukweli!Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati.
Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel.
Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza kupenya yalileta madhara na inasadikiwa wa Israel 6 wamekufa mpaka sasa
Lakini pia usiku wa juma nne na jumatano Israeli waliiijibu Palestine kwa kurusha makombora mia moja ambayo yaliharibu majengo kadhaa ikiwemo makao makuu ya hamas na mitambo ya mawasiliano pamoja na kuua watu 56.
Huu mgogoro unahusisha dini kwa asilimia mia zote. Waislam wakiwa wanisapot Palestine na sisi wakristo tupo upande wa Israeli.
Waislam wa hapa kwetu wanakasirishwa sana na kitendo cha sisi kuisapot Israeli ilihali sisi hatuwalaum wao kuisapot Palestine
Hii inanifundisha kwamba biblia ni kitabu cha kweli maana haya yameandikwa humo.
Kuna story nyingi kuihusu Israel na uhalali wa kua pale lakini hadith halisi inaanzia kwa Yusufu kwenda Misri inahitimishwa na wana Israel kutoka misri kuludi kwao. Hizo zingine zimetungwa kwa manufaa ya watu fulani.
Huu ugomvi upo sio kwa sababu ya ardhi hapana. Huu ugomvi upo kwa sababu waarab wameamua kua adui na mungu.
Ingawa wao husema Israeli imelaaniwa.
Vipi wao ambao hamjalaaniwa na mnapigwa vita kila siku mmeahindwa kumuomba allah awape wepesi kabisaa?
Biblia inaniambia ataefanya vita na Israel amegusa mboni ya jicho la mungu.
Kataa kua adui wa mungu.
kwani waarabu sio, wabaguzi????Mkristo mpuuzi kama wewe ndo unaesaport hao washenzi wa kirusi na kijerumani..hakuna israel pale..wakristo wanapaswaa kujua hilo..ni ujinga kushabikia watu waliowabaguzi wa rangi..
Wewe na weusi wako ukifika kuleee unarushiwa ndizi..pimbi kabisaa waleee..hawana mana..waisrael wa kwel hawapo paleee...kama unataka kuamn waulize wale wasamaria wanaokaa miliman..
Endelea na propoganda wakat wenzako wanaumia huko 🤣🤣🤣🤣🤣Confirmed: Preliminary: Rockets were fired from Lebanon in the direction of Israel
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother sitetei mwarabu wala hao warusi na wajerumani..wote ni wabaguzi..ambacho nakipinga ni kuwaonea watu waliokwenye makazi yao enzi na enzi..fuatilia nini kilifanyika mwaka 1948. Lakini pia nawashangaa watu kama mtoa mada wanawatetea hao magaid wa pale middle east..nazani ubongo wake haupo..kwani waarabu sio, wabaguzi????
Mungu hana dini na hsjawahi kuanzisha wala kutuma mtu aanzishe dini, alituma mitume na manabii kwa kila jamii waishi anavyotaka yeye kutokana na tofauti mbalimbali alizoumba kwa kila jamiiWewe boya, hujajibu hoja,unakuja kuleta utopolo wa ki CCM humu, Uislamu ni Dini ya Mungu Kama ni Dini ya Mungu kwa nini mnaipigania nyie huku Mungu mwenye Dini yake anawaangalia tu mnauliwa kila siku?