Mimi sio shabiki kama vile ambavyo wewe unajita ila nataka nitoe maoni yangu, huenda yakafungua akil za watu wachache ...
1. Historically, Ibrahim alitokea falme za kiarabu, akaambiwa atoke ktk nch za baba yake. Mungu sababu ya kumtoa Ibrahim ni kumfanya awe taifa, kwahiyo kupitia Ibrahim kuna taifa lingine lilikuwa likiundwa, ambalo sio tena jamii ya kiarabu. Mungu alimwambia Ibrahim toka ktk nch za baba zako, nami nitakufanya wewe kuwa Taifa.
2. Ibrahim akazaa na kijakaz wake, akaitwa Ishael, lakin Mungu hakutaka taifa hilo liundwe kupitia mtoto wa nje, yaani huyo ishmael, akatimuliwa Hajir na mwanae Ishmael kuelekea nchi za uarabun alitoka. Zile baraka zote za Ibrahim alizoahidiwa na Mungu, hazikwenda kwa Ishamel.
IFAHAMIKE NA KUELEWEKA, HUU NDO MZOZO MZITO NAMBA MOJA ULIPOANZIA NDAN YA HZ IMAN MBILI.
moja ikasema kuwa haki haikutendeka maana ile mibaraka alipaswa kupewa Ishmael lakin akaja akapewa Isaka while Ishmael ni uzao wa Ibrahim pia. Isaka akaja akazaliwa na Sarah, uyu ndo akabeba baraka za kiroho zaidi za baba yake Ibrahim.
3. Isaka na mkewe Rebeka, Rebeka akiwa na mimba watoto walishindana ndan ya tumbo hata akajuta kuwa na mimba. Akauliza mbele za Mungu nini maana ya hili jambo, Mungu akamwambia mataifa mawili yanashidana toka tumbon mwako, mkubwa atamtumikia mdogo katika maisha yake yote.
Kukata story, Isaka na Rebeka wakazaa mapacha, mkubwa Esau na mdogo Yakobo. Esau akauza haki ya uzaliwa wa kwanza kwa mdogo wake Yakobo. Muda wa kupokea baraka kwa mzaliwa wa kwanza Esau, Rebeka anafanya mbinu za zile baraka kupewa Yakobo na sio Esau. Na lastly Yakobo anapewa baraka zote za uzaliwa wa kwanza. Haya ni mambo ya rohoni sana.
HII NI HASIRA YA PILI JUU YA IMAN HIZI. Maana Esau akaelekea nchi za uarabun na Yakobo akabako palepale.