Man from cuba
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 571
- 1,394
Mbombo ngafuKanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake dr.Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka...
Huyu jamaa sijui alifikiria Nini?Kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake dr.Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu...
Kwani mgogoro mkubwa kabisa Tanzania wa makanisa si ulikuwa wa Moses Kulola na Emmanuel Lazaro? Hivi walikuwa ni Wanyakyusa?Migogoro ya kidini ni kitu cha kawaida sana pale kunapokua na viongozi wanakyusa.
Mwamlima ndo hao haoKwani mgogoro mkubwa kabisa Tanzania wa makanisa si ulikuwa wa Moses Kulola na Emmanuel Lazaro? Hivi walikuwa ni Wanyakyusa?
Mgogoro mwingine mkubwa ulikuwa wa Cheyo na Hitson Mwamlima wa Moravian, mgogoro huu uliamuliwa na Augustine Lyatonga Mrema, je Hawa pia walikuwa ni Wanyakyusa?
Mamndenyi unakosali wapi?Kuna wakati kulikuwa na mgogoro huko upare hadi wakawa wanafyeka migomba, ikahamia bukoba huko japo sikuufuatilia, Sasa ni tukuyu.
Hili kanisa lina kitu kimepungua hata huku ninakisali hakujatulia japo ni kimya kimya.
Ngoja tuone
Askofu huyo naye kichwani hazinaKanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake dr.Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka Tukuyu kulipokuwepo makao makuu ya dayosisi ya konde kuyapeleka Mbeya mjini uamuzi uliozua mgogoro mkubwa kwa waumini wa KKKT Tukuyu mjini kumtimua askofu Mwaikali hadi kuokolewa na polisi.
Tukuyu kapakodisha kwa milioni mia mbiliAskofu huyo naye kichwani hazina
Hilo li kiti la Askofu angeliacha libaki huko huko Tukuyu angepungukiwa nini?
Ukorofi tu
Nyie wengine ni vitoto vidogo.Migogoro ya kidini ni kitu cha kawaida sana pale kunapokua na viongozi wanakyusa.
Aliapa kuwa Askofu huku hajui mipaka ya kiaskofuAskofu huyo naye kichwani hazina
Hilo li kiti la Askofu angeliacha libaki huko huko Tukuyu angepungukiwa nini?
Ukorofi tu
Pesa iko wapiTukuyu kapakodisha kwa milioni mia mbili
Mimi nimetembea na mama yako siwezi kua mtoto mdogo.Nyie wengine ni vitoto vidogo.
Hamjui mgogoro mkubwa wa Dayosisi ya Meru kujitenga toka Dayosisi ya Kaskazini miaka ya 90.
Kimsingi ukabila kati ya wachaga na wameru ambapo watu waliuana.
mkuu umenukumbusha Askofu akyooo . Hii ilisababisha akaenda kupata hifadhi chuo cha biblia pale MwikaNyie wengine ni vitoto vidogo.
Hamjui mgogoro mkubwa wa Dayosisi ya Meru kujitenga toka Dayosisi ya Kaskazini miaka ya 90.
Kimsingi ukabila kati ya wachaga na wameru ambapo watu waliuana.
Mrema alikuwa master...kuna ule wa Meru nao ni yeye alisuluhisha.Kwani mgogoro mkubwa kabisa Tanzania wa makanisa si ulikuwa wa Moses Kulola na Emmanuel Lazaro? Hivi walikuwa ni Wanyakyusa?
Mgogoro mwingine mkubwa ulikuwa wa Cheyo na Hitson Mwamlima wa Moravian, mgogoro huu uliamuliwa na Augustine Lyatonga Mrema, je Hawa pia walikuwa ni Wanyakyusa?