Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wataarifu hao waumini wakae watulie, tunawapa pole sana kwa usumbufu uliojitokeza na tuna ahidi haitajitokeza tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawatuliza baba zako!Wataarifu hao waumini wakae watulie, tunawapa pole sana kwa usumbufu uliojitokeza na tuna ahidi haitajitokeza tena.
Mwisho wa yote sisi ndio waasisi wa kujitengaMrema alikuwa master...kuna ule wa Meru nao ni yeye alisuluhisha.
Lutheran kwa migogoro tupo vizuri. Usisahau ule wa Same vs Mwanga
Ukiishiwa hoja usilete ngono ulizofundishwa utotoni.Mimi nimetembea na mama yako siwezi kua mtoto mdogo.
Mgogoro wa wameru kuchomeana kanisani wewe binti huna cha kunifundisha mimi
Mpaka mgogoro huu umefika hapa ni lazima Roho wa Mungu atajibu, kwa mema au mabaya.Kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake Dkt. Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka Tukuyu kulipokuwepo makao makuu ya dayosisi ya konde kuyapeleka Mbeya mjini uamuzi uliozua mgogoro mkubwa kwa waumini wa KKKT Tukuyu mjini kumtimua askofu Mwaikali hadi kuokolewa na polisi.
Mgogoro huo umedumu kwa muda mrefu licha ya juhudi mbalimbali za kusuluhisha.
Waumini wengi wanahoji kama viongozi wao wanakuwa kwenye mgogoro je kondoo nani wa kuwachunga?? Je dini kwa sasa zimekuwa biashara Hadi kuzusha ugomvi wa kuzomeana makanisani??
Mimi niko Dsm kama Mluteri.Nimekuja kugundua askofu mwaikali japo simjui Ila alikuwa na Sababu za msingi Sana kuitoa hyo dayosis huko tukuyu na kuleta mbeya mjini
Ni vzr sna ingekuwa hvyo ili iwe rais kufikika kwa watu wote kuliko mtu kutokea ileje huko ndani huko au kamsamba ndani uko aje akatize mbeya Mjini na kwenda tukuyu kupata huduma za kidayosis wkt mbeya mjini ndiko kuliko center nzuri
Askfu sijaona kosa lake la kuenguliwa ktk kiti chake cha halali kbsa na maono yake
Mpk imepelekea askofu kufukuzwa kwenye msiba wa askofu gehaz malazuza ambaye pia mwanae Alex gehaz malazuza alishapata kuwa mkuu wa kanisa hili akiliendesha kibabe San havyo hvyo hata askof gehaz malazuza alishapata kuwa mkuu pia wa kanisa hili ktk kipindi Cha nyumba hvyo ikumbukwe kuwa hado dayossi imepelekwa kijij huko tukuyu Ni kwamba kulianzia mbali San
Mgogoro huu engineer wake Ni Alex gehaz malazuza Bab askofu huyu Ni mkabila San na pia Yuko nyuma ya hili kuhakikisha kuwa makao hayaami katk kijij hicho Cha tukuyu
Wamemuonea sna. Asko Dr Edward mwaikali napanga kumchamgia pesa ili apeleke swala hili mahakamani
Askofu Gehaz Malasusa?Nimekuja kugundua askofu mwaikali japo simjui Ila alikuwa na Sababu za msingi Sana kuitoa hyo dayosis huko tukuyu na kuleta mbeya mjini
Ni vzr sna ingekuwa hvyo ili iwe rais kufikika kwa watu wote kuliko mtu kutokea ileje huko ndani huko au kamsamba ndani uko aje akatize mbeya Mjini na kwenda tukuyu kupata huduma za kidayosis wkt mbeya mjini ndiko kuliko center nzuri
Askfu mwaikali sijaona kosa lake la kuenguliwa ktk kiti chake cha halali kbsa na maono yake
Mpk imepelekea askofu kufukuzwa kwenye msiba wa askofu gehaz malazuza ambaye pia mwanae Alex gehaz malazuza alishapata kuwa mkuu wa kanisa hili akiliendesha kibabe San havyo hvyo hata Bab ake askof gehaz malazuza alishapata kuwa mkuu pia wa kanisa hili ktk kipindi Cha nyuma hvyo ikumbukwe kuwa hado dayossi imepelekwa kijijini huko tukuyu Ni kwamba kulianzia mbali San
Mgogoro huu engineer wake Ni Alex gehaz malazuza Bab askofu huyu Ni mkabila San na pia Yuko nyuma ya hili kuhakikisha kuwa makao hayaami katk kijij hicho Cha tukuyu
Wamemuonea sna. Asko Dr Edward mwaikali napanga kumchamgia pesa ili apeleke swala hili mahakamani
Na
Wanyakyusa acheni kuchafua kanisa kwa tamaa zenu za madaraka na Kama vip hameni tu huku ndio maaan makanisa Ni mengin sna huko sabubu kubwa ni kwamba mnapenda madaraka sna ktk kuongoza kanisa na uchawi muache pia kuapply
Babu mm pia Niko dsm hapa njoo unipige hapaMimi niko Dsm kama Mluteri.
Wewe ni pandikizi tu.
Hapajawahi kuwepo Askofu Gehaz Malasusa.
Umetumwa bila shaka, jaribu tena.
Ni Askofu Alex MalasusaBabu mm pia Niko dsm hapa njoo unipige hapa
Ila hujui na utakah ujue kuwa gehaz malazuza alishapata pia kuwa mkuu wa kanisa hili la kkkt ujui na uwezi kujuwa fatili. Viongozi waliongoza kanisa hili utakuja nishukuru
Nakumbuak Hadi msiba wake ulifanyika hapo kkkt mbezi beach alikoagiwa kwenda kwao tukuyu kuzikwa
Pia ktk msiba wake ndiko kulikotokea hili la kufukuzwa na kuondokewa na ocd askofu mwaikali pale kweny msiba wa Bab ake na askofu Alex malazuza
Na meru huko kilishawakaga long timeKwani mgogoro mkubwa kabisa Tanzania wa makanisa si ulikuwa wa Moses Kulola na Emmanuel Lazaro? Hivi walikuwa ni Wanyakyusa?
Mgogoro mwingine mkubwa ulikuwa wa Cheyo na Hitson Mwamlima wa Moravian, mgogoro huu uliamuliwa na Augustine Lyatonga Mrema, je Hawa pia walikuwa ni Wanyakyusa?
KKKT wako vizuri sana kwenye idara ya migogoro. Askofu Mdegela wa Iringa migogoro haikumuacha salama hasa ile migogoro ya kugonga nyumba za watuNa meru huko kilishawakaga long time
Bado una unga unga ulivyohadithiwa.Babu mm pia Niko dsm hapa njoo unipige hapa
Ila hujui na utakah ujue kuwa gehaz malazuza alishapata pia kuwa mkuu wa kanisa hili la kkkt ujui na uwezi kujuwa fatili. Viongozi waliongoza kanisa hili utakuja nishukuru
Nakumbuak Hadi msiba wake ulifanyika hapo kkkt mbezi beach alikoagiwa kwenda kwao tukuyu kuzikwa
Pia ktk msiba wake ndiko kulikotokea hili la kufukuzwa na kuondokewa na ocd askofu mwaikali pale kweny msiba wa Bab ake na askofu Alex malazuza
uko vizuri mgoloko,pia makao makuu ya CAF yahame misri,yaje afrika ya kati,maana ni senta nzuri kwa africa,pia makao makuu ya OAU,yahame ethiopia yaende africa ya kati,maana ni senta nzuri,na umoja wa mataifa uhame marekani,uje africa maana ni senta kwa mabara yote...Nimekuja kugundua askofu mwaikali japo simjui Ila alikuwa na Sababu za msingi Sana kuitoa hyo dayosis huko tukuyu na kuleta mbeya mjini
Ni vzr sna ingekuwa hvyo ili iwe rais kufikika kwa watu wote kuliko mtu kutokea ileje huko ndani huko au kamsamba ndani uko aje akatize mbeya Mjini na kwenda tukuyu kupata huduma za kidayosis wkt mbeya mjini ndiko kuliko center nzuri
Askfu mwaikali sijaona kosa lake la kuenguliwa ktk kiti chake cha halali kbsa na maono yake
Mpk imepelekea askofu kufukuzwa kwenye msiba wa askofu gehaz malazuza ambaye pia mwanae Alex gehaz malazuza alishapata kuwa mkuu wa kanisa hili akiliendesha kibabe San havyo hvyo hata Bab ake askof gehaz malazuza alishapata kuwa mkuu pia wa kanisa hili ktk kipindi Cha nyuma hvyo ikumbukwe kuwa hado dayossi imepelekwa kijijini huko tukuyu Ni kwamba kulianzia mbali San
Mgogoro huu engineer wake Ni Alex gehaz malazuza Bab askofu huyu Ni mkabila San na pia Yuko nyuma ya hili kuhakikisha kuwa makao hayaami katk kijij hicho Cha tukuyu
Wamemuonea sna. Asko Dr Edward mwaikali napanga kumchamgia pesa ili apeleke swala hili mahakamani
Na
Wanyakyusa acheni kuchafua kanisa kwa tamaa zenu za madaraka na Kama vip hameni tu huku ndio maaan makanisa Ni mengin sna huko sabubu kubwa ni kwamba mnapenda madaraka sna ktk kuongoza kanisa na uchawi muache pia kuapply
Bujibuji Askofu anagonga nyumba za watu??? Amekuwa mwizi au kibaka???KKKT wako vizuri sana kwenye idara ya migogoro. Askofu Mdegela wa Iringa migogoro haikumuacha salama hasa ile migogoro ya kugonga nyumba za watu
Link tafadhali Mkuu hususan kwenye kipengele cha chanzo cha mgogoro na mimi binafsi ningependa kujuaJitahidi Upitie JF Mara Kwa Mara Siyo Wakati Wote Unaanzisha Thread Tu
Mods Wakiunga Utalalama Ila Habari Hii Ipo Humu Tangu Mwanzo, Chanzo Cha Mgogoro
Ha ha nimemshangaa huyo jamaa sana hata uandishi wake tu unatia shakaAskofu Gehaz Malasusa?
Bro jaribu tena , waliokutuma wakupe full details
Katibu mkuu alikuwa Mwenegoha(?)Nyie wengine ni vitoto vidogo.
Hamjui mgogoro mkubwa wa Dayosisi ya Meru kujitenga toka Dayosisi ya Kaskazini miaka ya 90.
Kimsingi ukabila kati ya wachaga na wameru ambapo watu waliuana.
Wanyakyusa wa Rungwe mumekuwa wabinafsi mno tokea enzi za mababu zenu,kila kitu mnataka kiwe wilayani kwenu RungweMwisho wa yote sisi ndio waasisi wa kujitenga