Wamasai wamekuwa wakiishi hapo kabla ya sisi Wabantu kuhamia Afrika ya Mashariki na wamekuwa wakiishi kwenye vijumba hivyohivyo mbona Serikali ya Kenya huwa inawalipa fidia nono.Hawana nyumba za kudumu, ni tope tu..walipwe fidia ya nini? Wamasai hawataki kuondoka mle kwasababu mle hawaruhusiwi kulima, hivyo serikali huwa inawapa msaada wa chakula Cha kutosha kila mwaka. Sasa wamezoea vya dezo.. hawataki kuondoka
Wana jaribu mazingira.. angalia sehemu yoyote masai ameishi nje ya hifadhi ni jangwaWamasai wamekuwa wakiishi hapo kabla ya sisi Wabantu kuhamia Afrika ya Mashariki na wamekuwa wakiishi kwenye vijumba hivyohivyo mbona Serikali ya Kenya huwa inawalipa fidia nono.
Kupanga ni kuchaguaWasalaam kutoka Ngorongoro.
JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali...
Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao wapata takriban 100,000 ili kupisha shughuli ya uhifadhi na utalii
Wananchi hawa wamedai baada ya ahadi ya kuhamishwa kutoka Serengeti kuja Ngorongoro hapakuwa na makubaliano ya kwamba baada ya kipindi fulani wataondolewa tena kutoka Ngorongoro kupelekwa pasipojulikana!!
Wananchi wameendelea kuwa na imani na Rais Samia Suluhu lakini wamekuwa wakilalamika kwamba huenda Rais anadanganywa na wataalam haswa mhifadhi mkuu bwana Manongi pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii.
Angalia malalamiko ya wananchi hapo chini
Wamasai hawaharibu mazingira sema kuna haja ya kupunguza Mifugo yao kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa.Wana jaribu mazingira.. angalia sehemu yoyote masai ameishi nje ya hifadhi ni jangwa
Mbele kwa mbele ni kuisoma kila Kona....Wasalaam kutoka Ngorongoro.
JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali...
Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao wapata takriban 100,000 ili kupisha shughuli ya uhifadhi na utalii
Wananchi hawa wamedai baada ya ahadi ya kuhamishwa kutoka Serengeti kuja Ngorongoro hapakuwa na makubaliano ya kwamba baada ya kipindi fulani wataondolewa tena kutoka Ngorongoro kupelekwa pasipojulikana!!
Wananchi wameendelea kuwa na imani na Rais Samia Suluhu lakini wamekuwa wakilalamika kwamba huenda Rais anadanganywa na wataalam haswa mhifadhi mkuu bwana Manongi pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii.
Angalia malalamiko ya wananchi hapo chini
walipwe fidia ya nini, kwani ardhi walikuwa wanamiliki ile? si mbuga ya wanyama? tangu lini wamemiliki ili walipwe? halafu wanataka kufanay mbuga iwe jangwa halafu wakimaliza kabisa majani waondoke wakatafute maeneo mengine wakati wanyama pori watahama au kufa kwa kukosa majani. wanasababisha jangwa. wamesomesha watoto kadhaa wanasheria kina Ole ngurumo wako kibao kwenye mitandao, ati wanapigania haki ya kubaki pale, ndio nikaamini kumbe kuna watu unaweza kupeleka shule lakini bado uporipori upo kichwani hata ufanyeje. wafumuliwe kwa nguvu wanaharibu mbuga.Walipwe fidia.
hivi kweli inakuja kichwani mtu anashadadia kuendelea kuishi na wanyamapori ati ni haki yake? hao wanyamapori sio domesticated, wanaondoa hata ladha ya kutalii wanyama wanaoishi kivyao, manake unafika mahala wamechanganya pundamilia na ngómbe sao, si wataambukiza magonjwa kwa wanyamapori, magonjwa toka kwenye hayo mambusi yao.Wamasai hawaharibu mazingira sema kuna haja ya kupunguza Mifugo yao kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa.
Wamasai wamekuwa wakiishi na Wanyamapori kwa maelfu ya miaka bila ya kuwamaliza
Waje kuungana na binadamu wa kawaida au sio mkuu [emoji23][emoji23]Waache kudekezwa hao watu wakimbizwe waje mtaani kuungana na binadamu wa kawaida au watengewe mapori yao maalumu
Hebu soma historia ya Wamasai kuishi na Wanyamapori imeanza lini kwanza.hivi kweli inakuja kichwani mtu anashadadia kuendelea kuishi na wanyamapori ati ni haki yake? hao wanyamapori sio domesticated, wanaondoa hata ladha ya kutalii wanyama wanaoishi kivyao, manake unafika mahala wamechanganya pundamilia na ngómbe sao, si wataambukiza magonjwa kwa wanyamapori, magonjwa toka kwenye hayo mambusi yao.
Idadi ya mifugo imekuwa kubwa kuliko hao wanyamapori wenyewe. Ni kweli pale hamna kitu baada ya miaka michache sana. Siasa zimepigwa nyingi mpaka hifadhi siyo hifadhi tena na wasiwasi inaweza hata kuondolewa kwenye World Heritage Site.Ngorongoro itakufa kabisa ndani miaka 10 ijayo kama Serekali itashindwa kuhamisha wamaasai ambao wamezidi kuongezaka na mifugo imekuwa mingi.
Tanzania ni kubwa ni vyema Serekali ikaunganisha Ngorongoro na TANAPA na kuondoa upuuzi wa uhifadhi wa wanyamapori na binadamu.
Sasa wameanza kujenga nyumba za kudumu kabisa mimi nimezionaHawana nyumba za kudumu, ni tope tu..walipwe fidia ya nini? Wamasai hawataki kuondoka mle kwasababu mle hawaruhusiwi kulima, hivyo serikali huwa inawapa msaada wa chakula Cha kutosha kila mwaka. Sasa wamezoea vya dezo.. hawataki kuondoka
Hebu soma historia ya Wamasai kuishi na Wanyamapori imeanza lini kwanza.
kwahiyo kama mmekuwa mkiishi na wanyama, mnataka kuendelea kuishi na wanyama hadi leo, tukiwaita vivutio mnakasirika. akili za kiporipori hizo.Hebu soma historia ya Wamasai kuishi na Wanyamapori imeanza lini kwanza.
Sasa haitakiwi.. maana watakuja kusumbua kuondokaSasa wameanza kujenga nyumba za kudumu kabisa mimi nimeziona
Hebu tumia akili kidogo basi .. Leo wapo laki Moja na mifugo laki 2, fanya projection ya miaka 20 mbele hali itakuwaje,? Serikali iwaondoe kwa utaratibu mzuri, walipwe fidia na wapewe maeneo wasitolewe kibabe tu. Hiyo hifadhi Mimi na wewe tutaiacha vizazi vijavyo vifaidi pia ..bila kuchukuwa hatua mapema, miaka 30 ijayo hamna mbuga.Hebu soma historia ya Wamasai kuishi na Wanyamapori imeanza lini kwanza.
Ndio argument yangu.walipwe fidia na wapewe maeneo wasitolewe kibabe tu.