Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

Wana jaribu mazingira.. angalia sehemu yoyote masai ameishi nje ya hifadhi ni jangwa
Wapi? Narok ni jangwa? Ngorongoro ni jangwa? Kiteto ni jangwa? Wapi jangwa katika mkoa wote wa Arusha? Kati ya mkulima na mfugaji, nani anaharibu mazingira?
Singida na Dodoma kuna Wamaasai?
Acha upumbavu wa kuzaliwa wewe.
 
Waondoke haraka, naona wengine wanatoka nje ya mipaka kuja kuishi ardhi ya bure. Watu wataishije na wanyama bana!
 
Hapa ni MaCCM wanashauri bungeni huko kuwa wananchi wa Ngorongoro watolewe kwa kutumia vifaru vya jeshi na mabuldoza😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Wapi? Narok ni jangwa? Ngorongoro ni jangwa? Kiteto ni jangwa? Wapi jangwa katika mkoa wote wa Arusha? Kati ya mkulima na mfugaji, nani anaharibu mazingira?
Singida na Dodoma kuna Wamaasai?
Acha upumbavu wa kuzaliwa wewe.
Kumbe naongea na taahira. Mtatoka tu
 
Wapi? Narok ni jangwa? Ngorongoro ni jangwa? Kiteto ni jangwa? Wapi jangwa katika mkoa wote wa Arusha? Kati ya mkulima na mfugaji, nani anaharibu mazingira?
Singida na Dodoma kuna Wamaasai?
Acha upumbavu wa kuzaliwa wewe.
Monduli, Longido, Simanjiro.. safari hii hatutowaacha mpaka mharibu mazingira. Ngorongoro lazima mtoke mkajitegemee huko..sio kuishi kwa misaada. Watu laki 2 kuni za kupikia kila siku mnatoa wapi?
 
OBC ni mtanzania?
Monduli, Longido, Simanjiro.. safari hii hatutowaacha mpaka mharibu mazingira. Ngorongoro lazima mtoke mkajitegemee huko..sio kuishi kwa misaada. Watu laki 2 kuni za kupikia kila siku mnatoa wapi?
Wewe ni mjinga. Kwanza hujui lolote. Watu laki 2 wapo kwenye eneo la NCA? Population ya wilaya nzima ya Ngorongoro haikuvuka laki 2 mwaka 2012. Sasa hao walioko kwenye NCA wanafikaje laki 2?
Ninyi acheni kutulisha. Sisi tutauza ng'ombe kununua chakula.
Kwani Simanjiro mnatulisha? Longido mnatulisha ninyi waoga wa mishahara?
Wewe ni mfanyakazi wa NCAA. Nenda ukaishi kwenu bila mshahara mjinga usiyetahiriwa wewe.
 
Wafugaji wa Ngorongoro wana utamaduni wa kuitana kuja kujazana mle ndani. Kuna wengine wanapokea mifugo toka kwa ndugu jamaa na marafiki. Kifupi ni kuwa Mifugo mingi iliyoko NCA asili yake ni nje kabisa ya hifadhi. Halikadhalika watu wengi mle wanatoka mbali hukoo wanaingia na kupokelewa na wenyeji wenzao.
Miji (centres) inaibuka kama uyoga. Biashara mle ndani zimechangamka vibaya sana hakuna tofauti na Karatu, Makuyuni au Mto wa Mbu
Sasa hatua zozote zitakazochukuliwa dhidi ya Wamasai mle NCA zinapaswa kuungwa mkono ENDAPO zitaenda sambamba na kuwaondoa kambi na hoteli za kitalii.
Wamasai wawe nje na "makazi" ya wawekezaji na watalii nayo yawe nje!
NCA yote ibaki sehemu ya kutembelea tu kama ifanyikavyo mle shimoni.
 
Unajichosha bure tu.. waziri mkuu anaanza ziara za kuongea na masai wenzako waondoke kwa amani bila mabomu na risasi. Na wamasai walivyo waoga, wakisikia AK 47 imekohoa tu, tutaona mashuka yanapepea
 
Unajichosha bure tu.. waziri mkuu anaanza ziara za kuongea na masai wenzako waondoke kwa amani bila mabomu na risasi. Na wamasai walivyo waoga, wakisikia AK 47 imekohoa tu, tutaona mashuka yanapepea
Mbona kwa miaka zaidi ya 12 mmeshindwa kutumia hizo AK47? Mtakufa njaa tu. Hata tukiondolewa, NCAA inakufa. Mtaenda kufanya kazi halmashauri zenu huko ambako mapato yamepungua siku hizi.
Tunabadilisha NCAA kuwa national park.
Na hao mnaotaka kuwavutia hawatakuja. Itakawatokea kilichotokea kwenye ujenzi wa barabara ya njia 8 kibaha.
 
Watu weupe hawaungi mkono jambo lolote la serikali kuwanyanyasa wananchi wake. Sisi tu ngozi nyeusi ndio tuna roho za fisi.
 
Wewe unadhani Wamaasai wote ni hao unaowaone ndani ya NCA na njaa zako mjinga wewe.
 
We kichaa kweli..nani amekuambia kuwa wanyama wanaishi ngorongoro kwaajili ya masai, au wazungu wanakuja kwaajili ya kuwaangalia Masai
 
We kichaa kweli..nani amekuambia kuwa wanyama wanaishi ngorongoro kwaajili ya masai, au wazungu wanakuja kwaajili ya kuwaangalia Masai
Si unaona usivyo na akili. Hujui hata chimbuko la utalii ndani ya NCA. Na kwanini ina consideration yake maalum.
Jibu hili swali; Kwanini NCA haipo chini ya TANAPA? Nini maana ya NCA?
 
Si unaona usivyo na akili. Hujui hata chimbuko la utalii ndani ya NCA. Na kwanini ina consideration yake maalum.
Jibu hili swali; Kwanini NCA haipo chini ya TANAPA? Nini maana ya NCA?
Sio lazima iwe conservation ndo watalii waje. Hata ikiwa national Park wazungu watakuja. Wazungu wanakuja kuona wanyama na sio Masai
 
Sio lazima iwe conservation ndo watalii waje. Hata ikiwa national Park wazungu watakuja. Wazungu wanakuja kuona wanyama na sio Masai
Hujui lolote. Zanzibar wazungu wanaenda kuona nini? Nchi za wazungu hazina beach? Kuna utalii wa kitamaduni, mambo ya kale na makumbusho. Mbona unakuwa mpumbavu hivi nyie wapenda posho za NCAA?
 
Mkavunje kwanza hoteli ndani ya eneo la NCA. Hoteli zijengwe Karatu na Mto wa Mbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…