Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
CHANZO SAHIHI

Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM.

Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika,

Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu,

Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni walikuwa wanaomsujudu Sana Magufuli kupita kiasi

Maumivu ya Polepole na Bashiru ni Kuona waliowadharau wameshika hatamu.

Makamu wa Rais wa Magufuli alidharauliwa Sana kiasi kwamba watu walishindwa kumuhusisha kwa Mambo Mengi na kwenda kwa Namba Moja kwa Moja , lakini amekuja kuwa Mkuu wao,

KIPINDI CHA SHULE YA UONGOZI CHA POLEPOLE

Walio Nyuma ya scenario hii ni wafuatao

1. Mkumbo Kitila
2. Pole pole
3. Bashiru
4. Mr Mtagwaba wa Dodoma
5. Msukuma
6. Ndugai

Wanaopinga haya Mambo na Kumuunga Mkono Mama Samia Ni wafuatao

1. Professor Sospeter Muhongo
2. Rweyemamu alokuwa Ikulu
3. Mzee Warioba
4. Akson Tulia
5. Rose Banji
6. January Makamba huyu Kuna kundi la watu Zaidi 20 wamemwagwa mtandaoni Kukabiliana naye

7. Jenester
8. Ummy Mwalimu
9. Mzee Mwingi
10. Bernard Membe
11. Nchemba japo Ni bendera fuata upepo Kama kigwangalla

Wazee wengine hawaoneshi Kuwa Na Upande kama Jakaya na Butiku wameendelea kukweka kutoa ya Moyoni
 
Mkuu Maada yako ni njema sana kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu.., Lakini naomba kufahamu hao wanaomuunga Mkono na wanaompinga huo Mchujo umefanyikaje hadi kuja na Orodha hiyo ya hayo Majina?
 
😍😍👊👊💪💪

Siempre Chifu Mkuu Hangaya🙏

201101q.jpg
 
Nimechoka ngoja nilale kesho nikiamka na kuikuta Uzi huu basi Nita comment.
 
Naomba utambue hakuna anayeweza kupambana na kiongozi mkuu akiwa madarakani zaidi zaidi wanajichosha tu, hata watu wote ndani ya Chama wasipomuunga mkono bado atatoboa so long as yupo madarakani, pengine Hao wanaompinga hawajajua nguvu ya Rais
 
Mkuu Maada yako ni njema sana kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu..,
Lakini naomba kufahamu hao wanaomuunga Mkono na wanaompinga huo Mchujo umefanyikaje hadi kuja na Orodha hiyo ya hayo Majina?
Akikujibu nitag
 
Wakubwa, Mzee baba JPM ashalala. Hatafufuka na ukurasa wake umefungwa.

Rais SSH amechukua kijiti kwa mujibu wa katiba yetu. Na kwa madaraka ya Rais kuanzia VP mpaka asie na cheo, we all serve her pleasure.

Kwa msingi huu, sioni kwanini kuwa na team JPM wakati JPM hayupo. Angekuwa labda msituni anapigania kurejea kungekuwa na mantiki ya kuwa na team JPM.

Watanzania tuishi kwa kuheshimu misingi ya katiba yetu. Nataka kuamini JPM aliteua SSH kama VP wake kwa muhula wa pili 2020 akiwa na imani nae kumsaidia majukumu yake.

Kuanzaia March 19, 2021, Madam President SSH ndie CinC na tunawajibika kumuunga mkono kwa yale anayofanya yenye maslahi ya taifa. Kama kuna pahala anapokosea, tuna nafasi ya ku-critique na kutoa hoja mbadala afanyeje ili Tanzania tutayoitaka tuione ikitokea tungali hai na kwa faida ya vizaji vijavyo.

Maadui wa nchi hii bado ni Umasikini, Ujinga na maradhi, kama tukijikita kwenye kuwakabili hao maadui zetu, itakuwa na tija kwetu kuliko kubaki tunabishana na team JPM na SSH wakati hawa wawili walichukua form ya Urais wa JMT 2015 na 2020 kwa pamoja.

1bAA-1024x682.jpg



124.jpg



_117629120_9801b47e-b8c7-43b4-b0be-7f3ce7eb8c13.jpg
 
Mkuu Maada yako ni njema sana kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu..,
Lakini naomba kufahamu hao wanaomuunga Mkono na wanaompinga huo Mchujo umefanyikaje hadi kuja na Orodha hiyo ya hayo Majina?
Hapo ni waziri mmoja alitengwa na Magufuli, sasa anamshawishi mama ashushe mkeka ili apate nae.
Hata hivyo ubashiri wake ni feki.
Mfano moyo wa Jenister kuwa kundi Hangaya?
 
Hapo ndio sisiemu wanapo pata mwanya wa kuendelea kufanya wayatakayo wanajuana wale
 
Back
Top Bottom