Mgogoro wa ardhi Rwagasore Mwanza kati ya mfanyabiashara na wananchi

Mgogoro wa ardhi Rwagasore Mwanza kati ya mfanyabiashara na wananchi

Acha uzushi, we umetumwa siyo bure. RC hawezi kukurupuka wakati kuna uamuzi ulishafanywa na waziri mkuu, acheni uchonganishi usio na mantiki.
Mkuu Mimi nitumwe na nani? Nimekuwa nikifuatilia hili jambo toka awali coz najua kuna shida Jiji hapo na si vinginevyo maana MTU hadi kupewa hati na kibali cha ujenzi hii siyo kazi ndogo na isitoshe barua ya rais kusema katwaa ardhi hiyo hakuna kuna njama toka kwa Adolf Nduguru katibu mkuu TAMISEMI na ex RC Mza Malima wanajua walichofanya. Kwanini RC Mwanza alizima simu alipoenda kuzuia ujenzi iwapo maelekezo yalikuwa ya mama? Aliogopa mini iwapo ni maelekezo ya Mh rais kutwaa viwanja hivyo Naomba 194 na 195 hapo Rwagasore? Huna fact ndg hili jambo litamchafua mh rais na PM kuonekana hawana mawasiliano na PM ataonekana mwongo mwongo tu wakati upuuzi umetengenezwa TAMISEMI
 
No way, forget it, huwa sikutani na watu wa kwenye ntandao. Hunijuwi sikujuwi.

Kwetu Mkuranga kwa mkanada.
Cha kustaajabisha hupo nkuranga sasa hivi lakini kama kawa unapokea tu Canadian social benefits na government handouts kutoka serikali ya makafr wagalatia. You don't even feel guilty conscious?
 
Cha kustaajabisha hupo nkuranga sasa hivi lakini kama kawa unapokea tu Canadian social benefits na government handouts kutoka serikali ya makafr wagalatia. You don't even feel guilty conscious?
Unaelewa kuwa Canada Uislam unakuwa kuliko imani yoyote ile nyengine?

Ulitaka niende nchi ya Waislam nikawasilimishe Waislam? Siku hizi tunawapiga daawa mpaka night clubs.

Unaelewa kuwa Canada Uislam unakuwa kuliko imani yoyote ile nyengine?

Ulitaka niende nchi ya Waislam nikawasilimishe Waislam? Siku hizi tunawapiga daawa mpaka night clubs.

Huyu hapa ni shoga wa Kiislamu Vancouver
160616163030-03-cnnphotos-queer-and-muslim-tease-only.jpg
 
Back
Top Bottom