Mgogoro wa Bandari na Vita vya Misemo: Kupanguliwa kwa Mipango na Uongozi

Mgogoro wa Bandari na Vita vya Misemo: Kupanguliwa kwa Mipango na Uongozi

Wat

Wakati wewe uko busy hapa kukejeli harakati za kupinga ule mkataba wa kilaghai wa kuuzwa bandari zetu, unasahau kuwa mama na washauri wake huko presha zinapanda, sukari hazishuki, trip za kwenda toilet haziishi, jasho jembamba linawatoka, hawajui cha kufanya, woga umewajaa, hawaamini kama watanganyika wamekuwa jeuri kiasi hiki.

Ngoma bado mbichi.
Mkataba wa kilaghai hauwezi kutekelezeka.
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Habari zenu wanaJF wenzangu?

Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza...
Waliosababisha hiyo mifumo mibovu ni nani? Yaani ujinyee halafu uwalaum walikupa chakula, Pumbavu kabsa
 
Habari zenu wanaJF wenzangu?

Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza...
Umeandika sana upumbavu wako.Ingawa wewe ni kikaragosi ambae hujui hata jinsi hili suala lilivyowakalia kooni hao mabwana zako.

Wewe Mr Dudumizi njoo na majibu

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu?

Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza...
makuwadi ya warabu yaliyohongwa yamekata pumzi hadi kina chongolo wameitele mikutano badala yake mabwabwa na makuwadi ndio yamebaki kushabikia ujinga.
 
Wat

Wakati wewe uko busy hapa kukejeli harakati za kupinga ule mkataba wa kilaghai wa kuuzwa bandari zetu, unasahau kuwa mama na washauri wake huko presha zinapanda, sukari hazishuki, trip za kwenda toilet haziishi, jasho jembamba linawatoka, hawajui cha kufanya, woga umewajaa, hawaamini kama watanganyika wamekuwa jeuri kiasi hiki.

Ngoma bado mbichi.
Mkataba wa kilaghai hauwezi kutekelezeka.
Endelea kujipa moyo

La bandari limeisha hilo, shika jembe ukalime itakusaisia hili la bandari mnapoteza
 
Back
Top Bottom