Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #41
Hongera sana istaz kwa kutambua umuhimu wa raisi Samia katika nchi yetu.Anaanza Allah, anafata Muhammad na mitume wengine, wanafata wazazi wangu, anafuata Samia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana istaz kwa kutambua umuhimu wa raisi Samia katika nchi yetu.Anaanza Allah, anafata Muhammad na mitume wengine, wanafata wazazi wangu, anafuata Samia.
Kumbe alikuwa dhaifu mpk analazimishwa!Acha ujinga wewe Magufuli a.k.a the bulldozer hakuwahi kumtaka bi mashungi. Alilazimishwa tu yeye alimtaka Mwinyi mdogo.
Pamoja na kwamba kuna wengine wametuibia miaka na miaka kupitia mgongo wa dini. Serikali itawasamehe ili tuanze upya.Bandari haitawaacha salama aiseee
Sio unasikia, ukweli ni kwamba hata sasa bandari haipo chini ya wananchi kama unavyodanganywa, bali ipo chini ya genge la wakwepa kodi, waiba mafuta na vifaa mbali mbali pale bandarini, wapitisha madawa ya kulevya na vishoka wao.Nasikia wanataka badili sheria ili kuondoa ulinzi wa Mali za watanzania usiwe chini ya wananchi na ni bunge la September mzigo unakuja bungeni
Kina nani hao? Mbona mnadanganyana sana🤣🤣🤣🤣🤣Pamoja na kwamba kuna wengine wametuibia miaka na miaka kupitia mgongo wa dini. Serikali itawasamehe ili tuanze upya.
Lkn bandari haiwezi kurudishwa katika mikono yao tena. Trust me
Hahahaha mama apandishwe sukari na joka lenu la kibisa lililodhibitiwa hata na yule mtu mwembamba hapo Rwanda.Wat
Wakati wewe uko busy hapa kukejeli harakati za kupinga ule mkataba wa kilaghai wa kuuzwa bandari zetu, unasahau kuwa mama na washauri wake huko presha zinapanda, sukari hazishuki, trip za kwenda toilet haziishi, jasho jembamba linawatoka, hawajui cha kufanya, woga umewajaa, hawaamini kama watanganyika wamekuwa jeuri kiasi hiki.
Ngoma bado mbichi.
Mkataba wa kilaghai hauwezi kutekelezeka.
Achana nae huyo sheikh ubwabwa mkuu, atakupotezea muda.Naomba tafsiri mzee
trust you gwa nyoko hakuna mwarabu wa dubei atawekeza pale kwa mkataba ule kiufupi wamengia choo cha shimo hao DP Weird!Habari zenu wanaJF wenzangu?
Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza.
Msemo huu kwa wale vichwa nazi mnaweza kuuchukulia poa, lkn kiuhalisia una maana kubwa sana.
Hebu angalia mwenyewe jinsi wale jamaa zetu waliokuwa wameigeuza bandari yetu shamba la bibi, walivyohangaika kupambania ugali wao kupitia kwenye migongo ya watu mbali mbali walioamini kuwa wanaushawishi wa kuweza kuzuia mipango mizuri ya serikali yenye lengo la kuleta ufanisi, uchapakazi na usimamizi mzuri pale bandarini.
Jamaa walianza kwa kuwatumia wanasiasa uchwara kupigia jaramba tonge lao, walivyoona wanasiasa hao hawana impact yoyote na mikutano yao haifuatiliwi na wananchi, wakahamia kwa yule wakili njaa huku akiongozwa na yule Dr aliewahi kufilisiwa hela zote na hawara yake hadi kupelekea Dr huyo kuanza kulalia na kushindia mihogo.
Baada ya Dr mihogo nae wakili wake nao kuangukia pua, ndo likatafutwa kundi la wale wanaoitwa viongozi wa dini. Kundi hili ni miongoni mwa wafaidika wakubwa wa mfumo mbovu uliopo Sasa pale bandarini, hivyo kitendo cha kuingilia swala hili hakikuwashangaza raia wengi, kwani tulijua ni lazima kundi hili lingejitokeza tu hasa pale walipoona wanaotumwa wanachemsha kukamilisha mission.
Kundi hilo la wanaoitwa viongozi wa dini na wanufaika wa mfumo mbovu waliingia katika swala lenyewe kichwa kichwa bila kuwa na data, au kuweka data zinazoonesha ni % ngapi ya watanzania wanaopinga mkataba wa bandari na % ngapi wanapinga.
Najua viongozi hao huenda walifanya utafiti wao kupitia JF na mitandao mingine ya kijamii bila kujua kwamba mitandao mingi au naweza kusema yote haina idadi halisi ya member wake.
Mfano hapa JF ni kawaida kumkuta member mmoja ana ID 10, kwahiyo members 10 wenye ID kumi kumi wakikoment kwa kila ID moja moja utapata watu 100, hivyo viongozi hao wakiona hiyo 100 wanajua ni members tofauti tofauti, kumbe kiuhalisia ni members 10 tu wenye IDs kumi kumi.
Walitegemea ile idadi waliyojitungia ingesababisha uungwaji mkono kutoka kwa watu wengine mbali mbali, including viongozi wengine wa dini na madhehebu mbali mbali, bahati nzuri wale viongozi wenye akili na maono kama askofu Shoo wameshawaelewa na kuwapuuza viongozi hao, hali inayopelekea viongozi hao wa dini wawatumie chawa wao kuwashambulia kina askofu Shoo kwa kukataa kugeuzwa kondoo kwa masilahi yao wenyewe.
Kwa msururu huo nafikiri mmeshaona wenyewe jinsi jamaa kila wanachoshika au kupanga kinapanguliwa
Narudia tena, hayati Magufuli hakumchagua raisi Samia kuwa mgombea mwenza kwa bahati mbaya. Bali alifanya vile kutokana na kuijua vizuri misimamo thabiti ya huyu mama. Hayati Magufuli alipokufa watu wakajua labda mama atashikwa masikio kiurahisi na kutelekeza miradi yote aliyoianzisha jemedari wetu na mzalendo wetu wa kweli hayati John Pombe Magufuli.
Wakaja kushtuka masikio ya mama yanateleza hayashikiki, miradi kaisimamia imeisha na kuanzisha ya kwake yenye tija, kwahiyo kelele zenu ni za mfa maji huwa lazima atape tape.
Yale makaratasi yalioandikwa na viongozi hao wakwepa kodi, hayatobadilisha chochote, na hawatoweza kumfanya raisi chochote. Trust me 🤞
Habari zenu wanaJF wenzangu?

Yale makaratasi yalioandikwa na viongozi hao wakwepa kodi, hayatobadilisha chochote, na hawatoweza kumfanya raisi chochote. Trust me [emoji1696]
Hamna kitu kibaya, kinachouma na kukatisha tamaa kama kumpigia kelele mtu anaekupuuza.Ila hili la moto,ccm kutema shida kumeza tabu .niko pale
Nakuonea huruma kwa kutumia muda wako, bando lako na nguvu zako kutetea masilahi ya baba wa wenzako.Tunaposema hatutaki mkataba wa kinyonyaji
Ni faida mpaka kwa wana mburula wa ccm wanaosema chukua yoteyote!
Aliekudanganya hivyo saa hizi ashavuta chake anakula na familia yake, wewe kabwela unabakia na uzalendo wako uchwara.Endelea kupigia chapuo uuzwaji wa nchi yako,, kesho na keshokutwa muanze tena kujiliza liza kwanini Kariakoo imetekwa na waarabu kila duka ni wao,,
Halafu hii comment ina maana gani??Anaanza Allah, anafata Muhammad na mitume wengine, wanafata wazazi wangu, anafuata Samia.
"Ngoma bado mbichi.Wat
Wakati wewe uko busy hapa kukejeli harakati za kupinga ule mkataba wa kilaghai wa kuuzwa bandari zetu, unasahau kuwa mama na washauri wake huko presha zinapanda, sukari hazishuki, trip za kwenda toilet haziishi, jasho jembamba linawatoka, hawajui cha kufanya, woga umewajaa, hawaamini kama watanganyika wamekuwa jeuri kiasi hiki.
Ngoma bado mbichi.
Mkataba wa kilaghai hauwezi kutekelezeka.
Ukute wewe mwenyewe haujui hata bandari hiyo Iko wapi.Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Waarabu wameshakataliwa na wenye nchi,, rudisheni kishika uchumba cha watu,, ama sivyo kiwake na nasikia wenye nchi hawataki hata kusubiri hiyo 2025,,Aliekudanganya hivyo saa hizi ashavuta chake anakula na familia yake, wewe kabwela unabakia na uzalendo wako uchwara.
inahighlight umuhimu wa samiaHalafu hii comment ina maana gani??